Eti mwanamke ni mwili wa punda jamani. . . . .

Eti mwanamke ni mwili wa punda jamani. . . . .

MagicM

Member
Joined
Sep 19, 2011
Posts
80
Reaction score
7
Jana nlikuwa katika daladala mara daladala liliposimama akapanda mama na m zigo hk akiwa amebeba mtoto na wawili wengine akiongoza nao akajitokeza abiria mmoja na kusema "Kweli mwanamke ni mwili wa punda. . . . Je ni kweli mwanamke ni mwili wa punda. . . . . . .
 
Mshindwe na Mlegee!!

Eventhough sikubaliani na alichouliza mtoa mada, but tutake razi ! Unatuambia tulegee ?
Tukishalegeza nyie mtajikula mnyewe kwa mnyewe ?
H.a.l.mam.deeism itakuhusu ujue?
 
Eventhough sikubaliani na alichouliza mtoa mada, but tutake razi ! Unatuambia tulegee ?
Tukishalegeza nyie mtajikula mnyewe kwa mnyewe ?
H.a.l.mam.deeism itakuhusu ujue?

Nimetafuta sehem ya like sioni naunga mkono pingamizi
 
Eventhough sikubaliani na alichouliza mtoa mada, but tutake razi ! Unatuambia tulegee ?
Tukishalegeza nyie mtajikula mnyewe kwa mnyewe ?
H.a.l.mam.deeism itakuhusu ujue?

...Jdgmnt,D. Camerun kaona mbali sana.
Abarikiwe.
 
Back
Top Bottom