Tamthilia ya untamed beauties iliyokuwa ikirushwa channel 10 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tamthilia ya untamed beauties iliyokuwa ikirushwa channel 10

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Kauzu Kinyama, Sep 18, 2012.

 1. Kauzu Kinyama

  Kauzu Kinyama Member

  #1
  Sep 18, 2012
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana jamvi hebu naomba nijuzwe kama kuna mwenye taarifa juu ya hii tamthilia hapa ch 10 nimekuwa nikiifatilia ila imeishia hewani
   
 2. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #2
  Sep 19, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 934
  Trophy Points: 280
  Mara ya mwisho kuitazama lini?
   
 3. Kauzu Kinyama

  Kauzu Kinyama Member

  #3
  Sep 19, 2012
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ilikuwa ni September 7 ambapo Gregorio kaungana na Beanice, dawa za Fernanda zimechakachuliwa
   
 4. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #4
  Sep 19, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Mara ya mwisho kuangalia tamthilia chaneli 10 ilikuwa ni Daniela, hivi iliisha?
   
 5. The secretary

  The secretary JF-Expert Member

  #5
  Sep 19, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 4,161
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Kwa wenye king'amuzi cha star times zilishaoneshwa
   
 6. Kauzu Kinyama

  Kauzu Kinyama Member

  #6
  Sep 19, 2012
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  So kwenye king'amuz inaendelea?
   
Loading...