Hadi saa hii hajarudi toka kwenye KITCHEN PARTY! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hadi saa hii hajarudi toka kwenye KITCHEN PARTY!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Baba V, Sep 17, 2012.

 1. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #1
  Sep 17, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Wanajamvi yaani hapa ni saa tisa na dakika ishirini na tano nimekaa sebuleni namsubiri Mama V arudi toka kwenye kitchen party aliyokwenda tangu saa nane alasiri! Yaani sielewielewi ati! Sijui nifanyeje aisee! Mwenye wazo!
   
 2. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #2
  Sep 17, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 219
  Trophy Points: 160
  Mfuate...
   
 3. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #3
  Sep 17, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  Hauko serious
   
 4. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #4
  Sep 17, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Mpigie simu, huenda amepatwa na tatizo. Kama inawezekana jaribu kumtafuta mtu ambae unadhani alihudhuria hiyo kitchen party, ili kama ana tatizo ulitatue. Hata huko kwenye kitchen party hatufundishwi cheating ya kijinga namna hiyo.

  Kama hajalazwa MOI na mhogo wa kiuno na mguu na mkono, umeshakuwa bushoke. Tafakari, chukua hatua!
   
 5. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #5
  Sep 17, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  niko serious mkuu Janjaweed
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #6
  Sep 17, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  at least you have said something, simu yake haipatikani na ilipofika mida ya saa mbili alisema anazima simu eti imetangazwa kuwa mida ya saa tatu kuna sayari inatoa mionzi kwa hyo anachukua tahadhari,yaani hadi kumi na moja hii nachomoka kwenda kibaruani bado hola,yaani nahisi kweli kuletewa mtoto mchina!
   
 7. Arabela

  Arabela JF-Expert Member

  #7
  Sep 17, 2012
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 3,253
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Mh pole sana.. Hajarudi bado?
   
 8. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #8
  Sep 17, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Haaaaaaaaaaaaaaaa kasharudi?
   
 9. N

  Nehondo JF-Expert Member

  #9
  Sep 17, 2012
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 311
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Duh kamtafute unakaaje ndani masaa yote hayo!?
   
 10. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #10
  Sep 17, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  mie nshakuja zangu kazini lakini hadi naondoka kumi na moja na nusu ilikuwa ni mbado!
   
 11. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #11
  Sep 17, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  mkuu mbado!
   
 12. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #12
  Sep 17, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  mkuu si unajua ile labda saivi ndo ataingia lakini masaa yanakatika tu
   
 13. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #13
  Sep 17, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Pole sana!
  Nenda ukumbini palikofanyika sherehe huenda ukamkuta.
   
 14. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #14
  Sep 17, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  asante kwa ushauri Madame B
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #15
  Sep 17, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,227
  Trophy Points: 280
  haiwezekani akaacha nyumba yake namna hiyo, tafadhali anza kumtafuta, usikute amepata matatizo makubwa, anza kumtafuta sasa, kama kuna unayemjua alikuwa nae kwenye kp anzia hapo
   
 16. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #16
  Sep 17, 2012
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,647
  Likes Received: 1,475
  Trophy Points: 280

  King'asti mida hii kulikoni my dada maan nyumbani vyumba
  Vimejaa ukirudishwa utalala wapi?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #17
  Sep 17, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  i just hope huu ni utamu wa chi chat maana kama ni kiukwelikweli,dah!
   
 18. Arabela

  Arabela JF-Expert Member

  #18
  Sep 17, 2012
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 3,253
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  mh labda ilikuwa kitchen party yake
   
 19. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #19
  Sep 17, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  unyevuuuuuuuuuuuu
   
 20. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #20
  Sep 17, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,746
  Likes Received: 12,825
  Trophy Points: 280
  Pole sana atarudi tu!
   
Loading...