Swali kwa Jf member wote na wa Tz kwaujumla...

Mtalingolo

JF-Expert Member
Aug 4, 2011
2,181
409
Ikiwa wanafunzi waliofauru darasa lasaba na kujiunga na kidato chakwanza hawajui kusoma wala kuandika,
Je hao waliofeli hali itakuwaje???

Hii inaweza kuingia kwenye maajabu saba ya Afrika....
 
Ikiwa wanafunzi waliofauru darasa lasaba na kujiunga na kidato chakwanza hawajui kusoma wala kuandika,
Je hao waliofeli hali itakuwaje???

Hii inaweza kuingia kwenye maajabu saba ya Afrika....

umeona enheeee...
 
Si jui hao watakuwa hawajui kucopy na kupaste! Lakini haya ni maajabu ya dunia.
 
Unapoweka multiple choice hata kwenye Math unategemea nini kama si majibu ambayo ni inside out!
 
Back
Top Bottom