Gym maeneo ya ubungo, sinza au mwenge

Gym maeneo ya ubungo, sinza au mwenge

Foundation

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
1,420
Reaction score
613
Wakuu naulizia wapi naweza pata gym maeneo ya ubungo, mwenge au sinza ukitoa ile ya ubungo na Sayansi.

Nawasilisha
 
Ni wapi naweza pata GYM maeneo ya Ubungo,Sinza au Mwenge ukiondoa GYM ya ubungo plaza na Sayansi.

Nawakilisha
 
Hayo maeneo ni Guest House na baa tupu, mambo ya afya si kipaumbele.
 
Back
Top Bottom