...... cacico.... Come this way baby....!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

...... cacico.... Come this way baby....!!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Asprin, Sep 14, 2012.

 1. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #1
  Sep 14, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,056
  Likes Received: 24,060
  Trophy Points: 280
  Wakulu kama mjuavyo, na kama mnavyoona maskani yangu ni huku wodi ya wazazi.....
  Kaja mama mmoja tumbo hiloooo.....
  Daktari kampima na kathibitisha huyu mama atajifungua kesho mtoto wa kike...
  Nimemsogelea mama huyu na kumuuliza huyo binti akijifungua atamwita nani?
  Kanambia atamwita cacico!!!

  Sasa wewe cacico huko tumboni uliko.
  Nakukaribisha sana duniani.... uwe mtoto mzuri
  Mamako nshampa mahela ya kukutunza na kukulea ili ukiwa mkubwa nije nikuwowe

  [​IMG]


  Uwe mtoto mtulivu, usianze ulevi utotoni kama Madame B

  [​IMG]

  Au chapombe KARIA

  [​IMG]

  Au Erickb52
  [​IMG]

  Nshamwambia mamako asimruhusu baba ako afanye mchezo mchafu usija ukabemendeka kama Bishanga

  [​IMG]

  Bali uwe na siha njema. Nakusubiri kwa hamu. Nshakununulia zawadi

  [​IMG]


  Na nshaandaa mipango yote ya harusi yetu mamii.
  Ukiwa humo tumboni mwa mama yako ujue kabisa huku duniani kuna mtu anaitwa ODM anakusubiri kwa hamu.
  Kuna wasichana wenzio BADILI TABIA Yummy na Kongosho niko nao hapa, nao wanakusubiri kwa hamu. Kuna kitu kinaitwa faivusamu kinakusubiri ili kifanyike.

  Eti waungwana, hii siyo sababu nyingine ya kupombeka hiyo makesho????
   
 2. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #2
  Sep 14, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,056
  Likes Received: 24,060
  Trophy Points: 280
  Afu cacico utakapo kuwa mkubwa, usije ukakengeuka ukadanganywa na vidume kama BAGAH. Alishamdanganya mwaJ akatenda naye dhambi afu akamtelekeza

  [​IMG]
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #3
  Sep 14, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  tukiongozwa na huyu Rais wa dunia...weekend itakua namna hii
   

  Attached Files:

 4. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #4
  Sep 14, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,056
  Likes Received: 24,060
  Trophy Points: 280
  Usiwe na tabia mbaya kama sweetlady. Kazi yake kuchungulia naniliyu za watu. Sijui alikuwa anaangalia nini kwa bukta ya Arushaone?

  [​IMG]
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #5
  Sep 14, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  khaaaa....yani icho kibamia ni changu mimi?...
  thubutu Asprin...
  wadanganye tu, watalala chali
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #6
  Sep 14, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,056
  Likes Received: 24,060
  Trophy Points: 280
  Hehehehe... dunia ukipiga ulabu ukiwa unaangaliwa na kina charminglady, Blue G, ummu kulthum na princess enny mbona hutatamani kufariki dunia mpaka urest in pieces?

  [​IMG]
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. KARIA

  KARIA JF-Expert Member

  #7
  Sep 14, 2012
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 720
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Kata maji kama mamba babu! Nguvu ya mamba kumayi! Nguvu ya Babu Asprin kupombekaaa! mpaka mukesho wakati batoto banazaliwa! aahh aahh!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #8
  Sep 14, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,056
  Likes Received: 24,060
  Trophy Points: 280
  Hahahaha kiijana naujua ugonjwa wako bana.....

  [​IMG]
   
 9. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #9
  Sep 14, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  weweeeeee...
  mimi penda huyo mwenye blue gaun
  anaonekana ni msafi maana hata GAGULO yake ni nyeupe..
  mtaniuaaa
   
 10. Yummy

  Yummy JF-Expert Member

  #10
  Sep 14, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 1,801
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Aiseee kumbe kuna kila sababu ya kupombeka kesho......wawawaaaaaaa hepi besdei in advance my mke mwenza cacico

  Yaani kesho full team.........sasa basi na tuanze kutoa mialiko mapema ili tujumuike na kina Mr Rocky(usijali kipenzi ntakutumia tikiti ya ndege,muage tu waifu vizuri. Erickb52 hata na weye ukitaka tikiti ntakutumia kwa EMS, Kaizer maudhurio yako niya muhimu sana maana gfsonwin/AshaDii (w)atakuwapo.
  Nimeongea na Bishanga hapa anasema atatuazima lile lirange lake tumbebeamo bebii, na ameahidi kutupa mchango wake wa 1m kwaajili ya kunywesha na kulisha wageni wote wataoweza kuhudhuria......uwiiiiii i can't wait aseeee.
  Asprin hivi bado masaa mangapi vile???
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #11
  Sep 14, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  mmmhhuuuu...
  hii mashine inakoboa na kusaga hapo hapo...
  mbona kitu cheusi namna hiyo..?
  inamaana carolite inadunda kwenye TAK*??
   
 12. Yummy

  Yummy JF-Expert Member

  #12
  Sep 14, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 1,801
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Hahahaaaaaaaaa mama yanguuuuuuu loooh!!!
   
 13. KARIA

  KARIA JF-Expert Member

  #13
  Sep 14, 2012
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 720
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
 14. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #14
  Sep 14, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,056
  Likes Received: 24,060
  Trophy Points: 280
  Niko mitaa hii wifey, nacheki na mzazi mtarajiwa nione kama naweza kumkonvisi akatufyatulia huyu cacico leo ili tupate sababu ya kupiga ulabu kuanzia leo mpaka jumatatu tunaibuka na sicksheet kwenda kutibiwa hangover...
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #15
  Sep 14, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Me nimeshaacha Pombe Asprin,
  na nimefungua Kanisa langu huku Kinondoni Manyanya.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. Yummy

  Yummy JF-Expert Member

  #16
  Sep 14, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 1,801
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  :laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh: BAGAH
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. KARIA

  KARIA JF-Expert Member

  #17
  Sep 14, 2012
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 720
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Hii ni dharulaa! kama sio balaa. upo shosti?
   
 18. princess enny

  princess enny JF-Expert Member

  #18
  Sep 14, 2012
  Joined: May 27, 2012
  Messages: 1,042
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  heee!! yan full kunenepa!!!
   
 19. Yummy

  Yummy JF-Expert Member

  #19
  Sep 14, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 1,801
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Hiyo itakua vyema zaidi kama tutakesha na mzazi kwaajili ya kumpokea baby girl wetu......fanya fanya majamboz halafu unishtue aseee. Mie ngoja nianza kuugua kuanzia sasa ili nichukuemo sick sheet kabisa, hivyo wewe unipitiemo TMJ.
   
 20. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #20
  Sep 14, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  my hubby! am hummbled! just speechless, big surprize! zawadi yako nakuandalia, japo mtoto sijazaliwa bado, lakini nikiwa tumboni nilikuwa mkoleni tayari, so ctakuangusha! mwahhhhhhhhh!
   
Loading...