Tupeane 5

Tupeane 5

Binti Magufuli

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2011
Posts
7,479
Reaction score
5,161
Habari wana MMU,

kama uko pande za singida na dodoma tuwasiliane kama hutajali tupeane hi na kampani ya ukaka na udada (kama jinsia itakuwa tofauti na yangu)......, kuhusu gharama za mkao kila mtu atajihudumia kulingana na matumizi yake.

Nawasilisha.
 
kipindi kile waenda Dar, ulipata kampani??

Mie niko hapa Nzega, ukifika ni PM.
 
Naam, usawa unanukia.

Kama si Mafafa bint Magalasa.
 
mhh mie sitafuti kiburudisho, jf ni ndugu zangu kokote ninapokuwa kama wapo twasalimiana kama kaka na dada katika kristo ma muhamad

mbona mnaenda siko? kwani mambo ya kikubwa yako hayo tuuu? mbona hayo hata wattoto wanayafanya tena ndo wanaongoza kwa sasa
 
Utafika Isaka nikupe dagaa za kumpelekea shangazi?
Kaolewa na msomali fulani, wanakaa Kahama, but
ukifikisha mzigo Isaka kwa Ami Hamdun lazima watampelekea.
 
Back
Top Bottom