ivi ndo kusema isidingo mpya imeanza au? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ivi ndo kusema isidingo mpya imeanza au?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by UncleUber, Sep 19, 2012.

 1. UncleUber

  UncleUber JF-Expert Member

  #1
  Sep 19, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 4,943
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  mi nilikuwa nampigia pande bwana Wakati ndik sasa ili angalau mama watoto wangu charminglady apate bedrest yake kwa amani wakati siku zinajisogeza, sasA mlengwa hata habari, naona mr. mkiva kamuibukia Elizabeth Dominic kwa kasi 4G, ndo kusema new tamthilia imeanza au ni ka documentary kafupi tu
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #2
  Sep 19, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Mbona hujanitaja mie niliyembikiri? Afu si unajua mtalaka hatongozwi eh...
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. E

  Elizabeth Dominic Platinum Member

  #3
  Sep 19, 2012
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 4,547
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Kijana naona una uelekeo wa ku sail kwenye uncharted waters.........................kwani ebu nieleze wewe unacheza nafasi gani kwenye hii tamthilia ambayo umeiandika, umeiproduce, umeidirect halafu ukaiedit?
   
 4. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #4
  Sep 19, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,856
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  me yangu majicho tu, akha babu eeh sitaki kujipa presha bure nikasababisha miscarriage!!!!!
   
 5. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #5
  Sep 19, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145


  Seriously I need to know you,Na mshawasha huo nimejikuta nikiupata toka nilivyosoma kuwa wewe ni Verified User and who knows.....
   
 6. E

  Elizabeth Dominic Platinum Member

  #6
  Sep 19, 2012
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 4,547
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Salama uko uliko? Wanaume wabaya...............yaani amekusafirisha ukajifungulie kijijini?...........lol
   
 7. E

  Elizabeth Dominic Platinum Member

  #7
  Sep 19, 2012
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 4,547
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Like how?....................God knows....................he is watching you........he he
   
 8. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #8
  Sep 19, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145

  Its a very difficult question to answer in front of hungry alliens..........
   
 9. E

  Elizabeth Dominic Platinum Member

  #9
  Sep 19, 2012
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 4,547
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  You should've known better to put it here in open...............you know where to go........
   
 10. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #10
  Sep 19, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145

  I Love this message,Very soon I m going to take actions............Thanks in advance for u r cooperation.........
   
 11. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #11
  Sep 19, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  nini kinaendelea hapa??
   
 12. Lucas

  Lucas JF-Expert Member

  #12
  Sep 19, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 2,451
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  ndio tanthilia mpya hiyo...vuta kiti ukae uitazame
   
 13. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #13
  Sep 19, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  hao wanawindana kidogo kidogo haoooo mnawaona wambea wenzangu jamani haooo.
   
 14. UncleUber

  UncleUber JF-Expert Member

  #14
  Sep 19, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 4,943
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  Mi ni mtayarishaji, na director pia ni script writer tu, nadhani wasanii wote wenye majina makubwa makubwa wamo ndani ya series yetu mpya season ya kwanza, ambayo inamshirikisha Elizabeth Dominic kama staa wa hii series mpya
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #15
  Sep 19, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145

  Si ndio mmekoma tunahamia chumbani sasa haooooooooooooooooo.....................
   
 16. m

  muhanga JF-Expert Member

  #16
  Sep 19, 2012
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 873
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  siku hizi anatongozwa tena kwa dau kubwa kuliko la awali!
   
 17. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #17
  Sep 19, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Labda huko kwenu, sidhani kama charminglady atanifanyia hivi, maana nimetoka nae mbali.
  Tangu kipindi kile akiitwa Charminggirl...
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. Fixed Point

  Fixed Point JF Bronze Member

  #18
  Sep 19, 2012
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 11,321
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  kumbe rafiki na wewe ni mgeni hapa Yerusalemu kama mimi?
  haya ngoja tuiangalie tu hiyo tamthilia kama alivyoshauri Smiling Saint
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. Lucas

  Lucas JF-Expert Member

  #19
  Sep 19, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 2,451
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  dah umechelewa kidogo episode one iko mwishoni ndio unafika!! basi fuatilia episode two labda utaelewa...trela ya episode tu ni kuwa atakuja hapa black nyau (@st. paka mweusi) na kujitangaza kuwa tayari Elizabeth Dominic ni wake... yaani usiogope
   
 20. measkron

  measkron JF-Expert Member

  #20
  Sep 19, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 3,713
  Likes Received: 365
  Trophy Points: 180
  Uamuzi mzuri mwanangu charminglady, mie na baba yako watu8 tunafurahi kukuona unatulia hasa kipindi hiki tunachosubiri kwa hamu mjukuu. Mumeo C6 juzi alipita nyumbani kutuona tulifarijika sana
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...