Siku moja watoto watatu,MWIGULU,NAPE na LUSINDE waliamua kwenda picnic sehemu fulani.Basi wakabeba mazagazaga kibao,misosi na vinywaji vya kutosha.Wakasafiri kwa mguu kwenda eneo la picnic yao...
Jana nilimwambia mwanangu (10yrs) Kuwa Mgeni akija mwambie nimelala.
Baadae kuna kijana mmoja akaja, kuuliza tu, akaambiwa kua baba kasema Mgeni akija tumwambie Kuwa...
Baada ya kipigo cha bao 5 - 0 Jamaa ambaye ni mpenzi wa Yanga wakati anaita watu kuja kusali msikitini (adhana) alfajiri, wakati akiwa busy, mpenzi wa Simba akapita na kumpa ishara ya 5, jamaa kwa...
Mke wa mtu alikua akisoma sms kutoka kwa mpenzi wake ghafla alijikuta akitokwa na machozi baada ya mpenzi wake kumwambia mapenzi yao yamefikia mwisho,mumewe akamuliza nani kakutumia sms?mke...
Kesho ni siku yangu ya kuzaliwa.
Even much amazing ni kuwa nimezaliwa siku moja na CUTE!
Saint fulani ningependa kukushirikisha furaha hii ndugu yangu...
Happy birthday Mphamvu!
Makini na washamba-SUA.
Matajiri na wenye akili + vilaza-MZUMBE.
Wasio na akili then matoz na masistadu -IFM.
Masharobaro na wazembe -CBE-Dar.
Upeo mdogo na watoto wa mama-TUMAINI...
Natoa taarifa kwa CHIT CHATTERS WOTE kwamba kuna mwenzetu ambaye huwa na wake wanne humu, tangu majuzi hakuna cha zamu wala nini; wakeze wote wako kwake na imekuwa ni bandika bandua akitoka huyu...
Wakuu nimefanya mauaji ya kinyama sana aise.
Kuna panya walikua wananisumbua kwa miezi3 sasa,kila nikiweka sumu nawakosa,sasa jana kuna jamaa kanipa ushauri wa bureeee kwamba nitumie ile dawa ya...
Niko sehem na kanyumba kadogo kamependa kuja kula ice cream. Around kuna watu wengi wanaenjoy. Wakati madem na watoto wanakula ice cream, juice, vinywaj bard na baadh vileo, nakereka sana kuona...
Ooh My God!
Jesus!
Yesu na maria
WTF!
I knew it!
hahahaha (unacheka umepata kisingizo cha kuachana)
Its over
we need to talk!
I love u hahahahaha(ya kinafki)
Awussubillahi...
1. Take your shoe size.
2. Multiply it by 5.
3. Add 50.
4. Multiply by 20 ...
5. Add 1012.
6. Subtract the year you were born��
The first digit is your shoe size, while the last 2...
Nakuja huko kesho ndugu zangu, kama kuna mwana JF yeyote anayeishi maeneo hayo, Lindi mjini mpaka Ruangwa,, nitakuwepo huko kwa muda wa siku kadhaa kama nne hivi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.