Jana nilimwambia mwanangu (10yrs) Kuwa Mgeni akija mwambie nimelala.
Baadae kuna kijana mmoja akaja, kuuliza tu, akaambiwa kua baba kasema Mgeni akija tumwambie Kuwa amelala....hahaha...nilichoka.
Imagine kama ningeongea uongo like akija mwambie sipo!!