Sifa za waenda vyuo:....... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sifa za waenda vyuo:.......

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by tindikalikali, Sep 18, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #1
  Sep 18, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  Makini na washamba-SUA.

  Matajiri na wenye akili + vilaza-MZUMBE.

  Wasio na akili then matoz na masistadu -IFM.

  Masharobaro na wazembe -CBE-Dar.

  Upeo mdogo na watoto wa mama-TUMAINI.

  Waliokosa vyuo kabisa -RUCO.

  Waliokosa nafasi UDSM na wanaipenda -UDOM.

  Wasiojali future zao- SAUT, USTAWI, MWL. NYERERE, MUCOBS, CBE DOM.

  Wenye uwezo ila walifeli F6-IAA,

  Wasiofahamu umuhimu wa elimu-MIPANGO, ZANZBAR, ST.JOHN.

  Wenye Nidhamu -MORO MUSLIM.

  Majigambo kibao hamna cha maana, kujipraud tu -SECUCO.

  Watu wenye sifa mchanganyiko na jamii inawakubali UDSM, MUHAS, ARDHI etc!

  Je we uko wapi/umepita wapi?
   
 2. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #2
  Sep 18, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  we uko wapi?
   
 3. a

  arteta the don New Member

  #3
  Sep 19, 2012
  Joined: Aug 18, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hahaha ni noma
   
 4. ceekay

  ceekay JF-Expert Member

  #4
  Sep 19, 2012
  Joined: Dec 22, 2011
  Messages: 378
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 45
  Hapo kwenye RED nadhani inabidi ufanye tena utafiti wako cos last time nilipokuwa Morogoro, SUA unayoijua ww sio hii ya sasa - Hapo ume-judge kwa mazoea (Though MOSt of things you said are somehow true). Tafakari!
   
 5. Parata

  Parata JF-Expert Member

  #5
  Sep 19, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 3,119
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  uliowapiga vijembe ulikosaga huko wewe
   
 6. adakiss23

  adakiss23 JF-Expert Member

  #6
  Sep 19, 2012
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 3,346
  Likes Received: 655
  Trophy Points: 280
  Sijui nikutukane.. Ila haitasaidia matusi kama nyimbo siku hizi.

  Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
   
 7. mtamanyali

  mtamanyali JF-Expert Member

  #7
  Sep 19, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 1,128
  Likes Received: 238
  Trophy Points: 160
  Ha ha ha ha ha inafurahisha sana pale ukweli unapozungumzwa kwa namna ya utani
   
 8. adakiss23

  adakiss23 JF-Expert Member

  #8
  Sep 19, 2012
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 3,346
  Likes Received: 655
  Trophy Points: 280
  Wanaouza K* na kuvuta bangi pale mabibo hostel ndo jamii yako inawakubali?? Jipange kijana

  Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
   
 9. ceekay

  ceekay JF-Expert Member

  #9
  Sep 19, 2012
  Joined: Dec 22, 2011
  Messages: 378
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 45
  Wewe ndio wasema hivyo!
   
 10. Dr.kapama

  Dr.kapama Senior Member

  #10
  Sep 19, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 184
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Dah jamaaaaaniiii naipenda jf
   
 11. Salathiel m.

  Salathiel m. JF-Expert Member

  #11
  Sep 19, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 241
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  duuh we boya kweeeeli
   
 12. P

  Punguli Member

  #12
  Sep 19, 2012
  Joined: Oct 19, 2011
  Messages: 76
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  amegusa penyewe!
   
 13. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #13
  Sep 19, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  Mkuu mapovu ya nini? Au umesahau ni jukwaa la utani?

  We lazima utakuwa kwenye kundi la waliokosa vyuo kabisa
   
 14. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #14
  Sep 19, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  vilaza utawajua tu, hujajiuliza kwanini nimeiweka hapa na siyo jukwaa la elimu?
   
 15. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #15
  Sep 19, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  Upo UDOM nini mkuu?
   
 16. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #16
  Sep 19, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  hapo muccobs una uhakika au ndo umemaliza form six kijana? unajua course za pale wewe? hebu jaribu kwanza tuone hata hiyo nafasi kama utapata...uliza maofisi ya hapa mjini uambiwe...
   
 17. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #17
  Sep 19, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,157
  Likes Received: 1,249
  Trophy Points: 280
  Teh teh teh teh teh teh teh teh teh! Utani mwingine unafanana na ukweli, ila all in all wote kwa pamoja tunakuja kupambana kwenye soko la ajira bila kuangalia huyu katoka chuo gani bali uwezo na ufanisi wa mtu
   
 18. p

  pretty n JF-Expert Member

  #18
  Sep 19, 2012
  Joined: Aug 21, 2012
  Messages: 299
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ishu cyo chuo ulichosoma je una kazi na master's zako hzo?
   
 19. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #19
  Sep 19, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  sawa kijana naona akili yako inawaza kuajiriwa tu..
  Mawazo ya kimasikini hayo.
   
 20. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #20
  Sep 19, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  aaaaaah aaaah mkuu kwani waliofeli form six huwa wanaenda wapi vile?
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...