Tafiti nyingine bhana ni utata mtupu!

MWILI NYUMBA

JF-Expert Member
Jun 18, 2012
817
255
Hebu fuatilia tafiti hii kutoka Ghana.
 
Attachments

  • new research by Joy news.mp3
    2.1 MB · Views: 622
Sema ukweli wewe una-angukia katika category ipi? vipi kuhusu idadi yake kwa siku?
 
Category yangu ni semi-silent, inaita Yusufu kwa slow motion... "yuuusssuuuuuufffffffuuuuuuuuuuuuu". Mziki wake ni hapo baadaye hewani.
 
Category yangu ni semi-silent, inaita Yusufu kwa slow motion... "yuuusssuuuuuufffffffuuuuuuuuuuuuu". Mziki wake ni hapo baadaye hewani.

Halafu uwe umekula dengu siku hiyo lazima raia wazimie kwa harufu.
 
Ha ha haaaaaaaaaaaa!! Duh!Hii kali aiseee. Mimi sina category moja nipo zotezote tu.
 
Back
Top Bottom