Ikitokea ukamfumania mpenzi wako kitandani akiwa na mwingine ni cha kwanza utasema? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ikitokea ukamfumania mpenzi wako kitandani akiwa na mwingine ni cha kwanza utasema?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Viol, Sep 21, 2012.

 1. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #1
  Sep 21, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  Ooh My God!
  Jesus!
  Yesu na maria
  WTF!
  I knew it!
  hahahaha (unacheka umepata kisingizo cha kuachana)
  Its over
  we need to talk!
  I love u hahahahaha(ya kinafki)
  Awussubillahi!!!
  Mmhh(utaghuna)
  lol
   
 2. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #2
  Sep 21, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Tawaambia "Mmependeza..."
   
 3. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #3
  Sep 21, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  halafu huku moyo unakudunda?
   
 4. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #4
  Sep 21, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Mkuu when happen that circumstance gentles are vary in the action taken!
  Mf. Mimi hapo sitochukua maamuzi ya violence , coz utaua and then you will face twins injury!
  Umemegewa with life sentence!
  Hapo mimi ndo itakua last of the game na huyo mke.
  Kwani hata uki forgive it's nothin! Waganda wana semi moja inasema "mwanamke na mwanaume waliokwisha kulana ujanani, hata wapoteane miaka kadhaa penzi lao hua haliishi hata kama wakikutana utu uzimani na kila mmoja yuko kwa couple yake, uwezekano wa kuvuana chupi upo tu"
   
 5. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #5
  Sep 21, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  Mkuu hata mi hapo sitasema lolote kwanza,nitanyamaza tena kuhusu jamaa wa watu ndo sintamsemesha,jioni itabidi nilewe kesho naanza tu mipango ya kuachana.
  Ila hapo kwa walioonjana ni kweli aisee,kuachana ni ngumu sana,halafu si unajua ex hatongozwi unamwelezea tu
   
 6. Paloma

  Paloma JF-Expert Member

  #6
  Sep 21, 2012
  Joined: Jan 22, 2008
  Messages: 5,341
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  ilinikuta hii, niliishia kusema " oo sorry i disturbed" sikumbuki kurudi hapo mahala!!!
   
 7. S

  Starn JF-Expert Member

  #7
  Sep 21, 2012
  Joined: Oct 10, 2011
  Messages: 400
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Nawaambia endeleeni ili nipate kuangalia movie
   
 8. Mchochezi

  Mchochezi JF-Expert Member

  #8
  Sep 21, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 6,952
  Likes Received: 1,155
  Trophy Points: 280
  ntawaambia, nimependa pozi lenu jamani endeleeni tuuu
   
 9. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #9
  Sep 21, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  halafu unawaona wamekosa pozi
   
 10. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #10
  Sep 21, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  yani kirahisi hivo?
   
 11. Paloma

  Paloma JF-Expert Member

  #11
  Sep 21, 2012
  Joined: Jan 22, 2008
  Messages: 5,341
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  yani wananyong'onyea balaa...kila mtu anatafuta pa kutokea hapaoni! unabaki kuwatizama tu wanavyokanyagana!!!
   
 12. data

  data JF-Expert Member

  #12
  Sep 21, 2012
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 16,733
  Likes Received: 6,507
  Trophy Points: 280
  Sijua hata ntasema nin.....zaidi ya kupata mshtuko na kuzimia
   
 13. Paloma

  Paloma JF-Expert Member

  #13
  Sep 21, 2012
  Joined: Jan 22, 2008
  Messages: 5,341
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  weee Excellent , hiyo kitu inauma na inachanganya vibaya sana!!! kuna reaction nyingi sana! na huwezi kupanga reaction endapo umefumania bila kuambiwa (kuna yale mafumanizi unaambiwa kabisa mkuu twende ukaone mali yako inaliwa ile unaweza kubeba panga.....)
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #14
  Sep 21, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  mi nikiambiwa mali yako inaliwa kweli siendi,sitaki nione kinachoendelea,labda anipe tu fidia halafu nimtimue mke
   
 15. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #15
  Sep 21, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  ila kumfumania mtu nayo inauma
   
 16. Paloma

  Paloma JF-Expert Member

  #16
  Sep 21, 2012
  Joined: Jan 22, 2008
  Messages: 5,341
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  ni noumer!!! haswa ukiwa hujawahi hata kuhisi....!!!
   
 17. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #17
  Sep 21, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,896
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Hwakukosea babu zetu waliokuwa wakitanguliza bakora
  nyumbani kuepusha mambo kama haya,unaweza kuua
  au kufa wewe kwa mshituko wa moyo
   
 18. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #18
  Sep 21, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  hahaha nasikia walikuwa wakilewa wakifika karibu na nyumbani wanaanza kuimba na kupiga kelele ili wahusika wapate chance ya kutoroka
   
 19. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #19
  Sep 21, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  na kurudiana pia inahitaji moyo
   
 20. K

  Kima mdogo JF-Expert Member

  #20
  Sep 21, 2012
  Joined: Sep 17, 2011
  Messages: 303
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ntacheka kwanguvu ha ha ha ha ha ha ha haaaaaa
   
Loading...