Fumbo!

Fumbo!

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,419
Reaction score
18,373
Kulikuwa na ndege watatu juu ya mti,kati ya hao ndege mojawao akaamua kuruka,je juu ya mti wamebaki ndege wangapi?
 
hakukubaki ndege,wote waliruka maana hupenda kuruka kwa makundi
 
kama ni juu ya mti, walikuwa hewani tayari....ingekuwa ni kwenye mti sawa.....hapo tungeanza kutathmini....nini kilimsababisha yule kuruka na je wale wawili kama hawakuruka......nini kiliwasababisha wabaki......
 
umekosa teh teh
 
Kulikuwa na ndege watatu juu ya mti,kati ya hao ndege mojawao akaamua kuruka,je juu ya mti wamebaki ndege wangapi?

Hakuna ndege alie baki kwasababu maelezo yako katika wakati ulipita na swali liko katika wakati uliopo.
 
mkuu unacomplicate mambo ile ukisoma vizuri utaona tu jibu lipo wazi
 
Back
Top Bottom