JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Mtoto alikuwa na trip za kwenda chooni, mama ikabidi amuulize mwanae "vipi tumbo linasumbua? Mtoto akajibu hapana halisumbui ila m**i yanasumbua tumbo.Hahahaha
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ndizi akamuuliza chungwa ni kwa nini ukiliwa lazima unyonywe? Chungwa akasema nisiponyonywa sisikii utamu kabisaaaa, wewe je? ndizi akajibu akasema mimi nisipovuliwa nguo sipati raha, Passion...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ameniambia kinaitwa chikanda.........
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Few hours after electricity went off A man dies and goes to hell. There he finds that there is a different hell for each country and decides he'll pick the least painful to spend his...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Ubaguzi
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Ili kujenga heshima kati ya Members na uendeshaji endelevu wa JF,napendekeza ufanyike uchaguzi Mkuu humu wa kupata Mwenyekiti,Makamu Mwenyekiti,Katibu Mkuu,Naibu Katibu Mkuu,Mweka Hazina na...
2 Reactions
40 Replies
3K Views
Kutumia kawa kufunikia chakula......!!! Naona siku hizi mambo ya hot ports yametawala.....!!
1 Reactions
24 Replies
8K Views
Maishani mwako,kitendo kipi ulianza kujua? Kuimba/kusoma/kuhesabu/kuendesha baiskeli/kuchunga wanyama/ kufanya mapenzi/kucheza mpira/kucheza kibaba-baba au kimama-mama au kipi?
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Yaani huyu hata ndoano haijaingia kwenye maji...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kutumia kawa kufunikia chakula......!!! Naona siku hizi mambo ya hot ports yametawala.....!!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa haraka haraka ukitajiwa fulani kanunua gari...haijalish linasoma T 101 AAA watu mind zinaclik jamaa sasa anazo...hata waliojenga nyumba zao za mamilioni ukienda ww na duet yako ya mkopo wa...
0 Reactions
71 Replies
6K Views
je wewe ungekuwa na vitundu vingapi ???
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Wana jf mnaelewa nini kuhusu hii kitu vijana wanasema wife material???
0 Reactions
1 Replies
798 Views
Nimecheka sana jana ndani yameli watu wa makabila na uraia tofauti walikuwa na mizigo,meli ikazidiwa uzito ikabidi kila abiria apunguze mzigo, mzungu akatupa computer akasema 'kwetu zipo tele'...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
DIRECT TRANSLATION.wacha mchezo-leave sportwewe ni kiboko yao-you are theire sticknaskia kizunguzungu-im hearing english englishmahindi yameota-maize is dreamingusinivute-dont smock meacha kulia...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
nimetokea arusha jamani kwa wanajamvi wa Arusha baadhi Mr. Rocky, Liverpool, Sweetylady na wengine naomba niwaage rasmi. Naomba Wanajamvi wa jiji la raha na karaha i mean Dar es salaam...
0 Reactions
6 Replies
983 Views
Jumuiya ya Vichaa Tanzania (JUVITA) imetishia kuitisha maandamano ya vichaa nchi nzima kupinga kazi yao ya kuokota makopo kuingiliwa na watu wenye akili timamu. Tukio hili limejitokeza baada ya...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Jamaa mmoja alikuwa anaongea na mzungu namna ilivyovigumu kupanda mlima Kilimanjaro. Ili aeleweke vizuri kwa mzungu maongezi yakawa hivi. Namnukuu, To plant mount Kilimanjaro is not...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Itabidi tv zetu ziwe na link na mwili ili ukijilaza kwenye sofa na yenyewe inajilaza kidogo, kasheshe mkiwa wengi sijui itakuaje
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Hizi Ndumu Bana! Eti nilikuwa ninaimajini kwamba Jei Efu imegeuka Kabustani halafu wana Jamii wamegeuka viumbe tofauti tofauti. Kuna watu nimewaimajini eti wamekuwa Viwavi Jeshi, Vinyonga...
9 Reactions
74 Replies
4K Views
Back
Top Bottom