Duzente Siqwente
JF-Expert Member
- Aug 6, 2012
- 265
- 59
Wana JF mwanza niko njiani nakuja mnipokee nitakua pande za mwaloni kwa muda wa cku 2 naombeni cmpany yenu
Duzente Siqwente,
kwa mwaka huu peke yake umesafiri toka mkoa mmoja hadi mwingine mara ngapi?
wanaokutamani ni wengi ila nnaekupenda ni mimi, nitunzie heshima yangu
sijataka weka thread coz mefika na kikohoz juu nami nimekuja wiki hii imean jana soo tupo pamoja tuu nipo saiz melala anaetaka ntoa out achangamkie tenda