Nimeua familia nzima,baba,mama na watoto 3 M/mungu nisamehe!!!

CHAI CHUNGU

JF-Expert Member
Feb 20, 2012
7,113
930
Wakuu nimefanya mauaji ya kinyama sana aise.
Kuna panya walikua wananisumbua kwa miezi3 sasa,kila nikiweka sumu nawakosa,sasa jana kuna jamaa kanipa ushauri wa bureeee kwamba nitumie ile dawa ya gundi kama PATEX kwenye njia yao,kweli bana hiii!siku mida ya night kali nikaamka kukagua tego,ebana mpaka huruma,maana nimeikuta familia yote,baba,mama na watoto wao wote,sikua na jinsi zaidi ya kuwapiga sindano za sumu wote.Ewe M/mungu nisamehe kwa kosa ili ingawa wao ndio walonianza.
 
Usilitaje kwa mzaha jina la Muumba wako!
 
Tobaaa!!! Imeaandikwa, usilitaje bila sababu ya maana Jina la Mwenyezi Mungu. Utajipalia laana bure!!
 
Wadau Mnamshambulia Bure@DUDU JEUSI, hajataja jina la Mungu kwani Mungu sio jina Binafsi bali ni Kisifa. Kwa wakristo jina la Mungu ni JEHOVA au Yahweh, kwa wailamu ni Allah. Kwa hiyo sioni kosa kwa hilo.

Ni mtizamo tu wa Bazazi!

Bazazi ni Bazazi!
 
Back
Top Bottom