TUMSAIDIE MWANA CHIT CHAT MWENZETU. He's really in Trouble. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TUMSAIDIE MWANA CHIT CHAT MWENZETU. He's really in Trouble.

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Arushaone, Sep 20, 2012.

 1. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #1
  Sep 20, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,361
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  Natoa taarifa kwa CHIT CHATTERS WOTE kwamba kuna mwenzetu ambaye huwa na wake wanne humu, tangu majuzi hakuna cha zamu wala nini; wakeze wote wako kwake na imekuwa ni bandika bandua akitoka huyu anaingia yule.
  Kisa wala si baridi bali kisa ni yeye kupuuza zamu na kunasa zaidi na my wife wake mdogo cacico. Wale wengine wakaungana na kama mnavyoona hata hapa hamumuoni. Kwa muongozo wakeze ni cacico, Yummy, BADILI TABIA na Kongosho aliye pia msimamizi wao.
  Ushauri; Auguze wake au azingatie zamu. Wewe unamshauri nini? Na kwa makusudi sijamtaja, je umemgundua ni nani????
  Source; Mmoja wa wakeze kani-PM.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #2
  Sep 20, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Heheheee Asprin imekula kwake
  Mwambie amwombe Mr Rocky akamsaidie aisee atakufa....anajifanya anafukia mashimo yasiyojaa lol
  Mwambia asishindane na alikotoka meeen!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #3
  Sep 20, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,473
  Likes Received: 4,130
  Trophy Points: 280
  Tutamsaidieje sasa...
   
 4. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #4
  Sep 20, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,334
  Likes Received: 2,649
  Trophy Points: 280
  Labda tumuandalie juice ya Mdalasini + Tende + Maziwa
   
 5. KARIA

  KARIA JF-Expert Member

  #5
  Sep 20, 2012
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 720
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Acheni majungu! Babu Asprin kapata kifaa kipyaa cha tano! Yuko kwenye honey moon na msaidizi mpya wa cacico.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #6
  Sep 20, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  haya kulikoni???? jamani mbona nyumba yangu mwenyewe halafu nakuwa mgeni, kulikoniiiiii??
   
 7. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #7
  Sep 20, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Arushaone mzima baba??? ni salamu tu!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #8
  Sep 20, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Mbona taarifa kumhusu Dc zinakua kanganya!
  Mi nimepigiwa simu juzi na nduguye wa karibu akanieleza alikua amefanyiwa upasuaji wa mnyama mwenye meno yaliotokeza nje!
  Na yuko SewaHajji
  So which is which!?
   
 9. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #9
  Sep 20, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,361
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  Advise is mostly he needs at the particular moment.
   
 10. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #10
  Sep 20, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,361
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  Watoto wa kiswahili utawajua tu. They know love medications
  Ila atakoma!!!!!!
   
 11. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #11
  Sep 20, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,361
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  Acha URONGO KARIA
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #12
  Sep 20, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,361
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280

  Hebu shem langu cacico mpake huyo KARIA kwa kuwa anadhan hii taarifa ni majungu.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #13
  Sep 20, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,361
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280

  Me mzima bibie ila mpeni pumzi jamaa. Unajua mada kesi zinaanzaga hivihivi eeh. Shauri yenu.
   
 14. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #14
  Sep 20, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,361
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  Take my word Judgement wao wameamua kumkomoa ila kwa latest development news ni kuwa kaaga anakwenda toilet then kasepa kwa speed ya ajabu. Mind you kuwa hakutoka na nguo zaidi ya towel na chini katinga malapa.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #15
  Sep 20, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Duh......patamu hapo!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #16
  Sep 20, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,226
  Trophy Points: 280
  unaijua faivusamu wewe? Kwa raha zetu hapa, hebu Yummy Kongosho casico mje kumwelezea, au Asprin hubby njoo uwaeleze tunavyofaudu!

  Nilipita tu acha nikajiunge na wenzangu kupata cha jioni
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #17
  Sep 20, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,226
  Trophy Points: 280
  hahaha umepinda wewe
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #18
  Sep 20, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,728
  Likes Received: 12,797
  Trophy Points: 280
  Kweli babu ana hitaji msaada wa haraka
   
 19. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #19
  Sep 20, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Heheheeee umekuja mama?
  Karibu sana nilikumiss sana BADILI TABIA tangu mornie
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #20
  Sep 20, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Mambo Kipipi wangu
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...