Nduku sangu tuko habha kwa chambo mocha, Robhi amefirwa na kaka yake usiku wa reo. Kufirwa si chambo cha mcheso, reo kafirwa Robhi, kesho nitafirwa mimi, kesho kutwa utafirwa wewe, chusi ghati arifirwa na papa sake wawiri kwa pamocha, kira mtu rasma afirwe, mbhona mnacheka he! Hibhi chambo ra kufirwa ni ra ghucheka chamani? mwingine akasema , msee Matiku marisa kabhura uchi hauchabhoa tuna nchaa