Nachukia wanaume wanaume wanaokula ice cream!

Ramos

JF-Expert Member
May 13, 2010
498
130
Niko sehem na kanyumba kadogo kamependa kuja kula ice cream. Around kuna watu wengi wanaenjoy. Wakati madem na watoto wanakula ice cream, juice, vinywaj bard na baadh vileo, nakereka sana kuona kwenye meza chache kuna mianaume nayo inalamba ice cream kwa vijiti. Wanaume wengi hapa wana bia, maji, whisky, viroba na vinywaji vingine vigumu. Kiukwel nakereka sana na vianaume fulani hapa vinavyolamba ice cream na yoghurt kama madem!
 
kuna tofauti kubwa kati ya mvulana ,mwanaume ,pia sio wote unawaona wanaume wengine ni wanawake
 
ungewaambia hapo hapo kama kweli na ww ni kidume...
sio kuleta majungu huku jukwaani...
watanzania bana...kula ice cream inafanya uume usisimame au?
 
Niko sehem na kanyumba kadogo kamependa kuja kula ice cream. Around kuna watu wengi wanaenjoy. Wakati madem na watoto wanakula ice cream, juice, vinywaj bard na baadh vileo, nakereka sana kuona kwenye meza chache kuna mianaume nayo inalamba ice cream kwa vijiti. Wanaume wengi hapa wana bia, maji, whisky, viroba na vinywaji vingine vigumu. Kiukwel nakereka sana na vianaume fulani hapa vinavyolamba ice cream na yoghurt kama madem!

Kuna mtu anakuhemea kijana, hakyanani vile.
Haiwezekana wanaume wenzako wale vitu wanavyopenda kwa raha zao halafu wewe uje kupika majungu humu, halafu unaonekana mshamba flani ivi, eti kwa vile watu wengi wanakunywa bia na whisky basi unataka kila mtu anywe.
Unakuwa na hulka za kike, kwamba kwa vile magauni ya ndembendembe yako kwenye chati basi na wewe unataka kuvaa, shenzi kabisa!
Ukitoka hapo pita hapa Msasani Lutheran unikute nakula urojo ndo upasuke kabisa.
Laanakum wewe!
 
Punguza munkali kiongozi, toka Fb unahasira kulikoni??
 
Hakuna ubaya ma men kula Ice Cream. ila ulaji wao lazima utofautiane na ule wa madem na watoto.
Wanaume wanapokula ice cream ni vyema waagize cups na watumie vijiko siyo kuramba hovyo hadi ndevu zinashika cream.
 
Back
Top Bottom