GOli 5 - 0

pilau

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
1,593
443
Baada ya kipigo cha bao 5 - 0 Jamaa ambaye ni mpenzi wa Yanga wakati anaita watu kuja kusali msikitini (adhana) alfajiri, wakati akiwa busy, mpenzi wa Simba akapita na kumpa ishara ya 5, jamaa kwa hasira akawa anaendelea kuadhini kwa nguvu na sauti kubwa huku akimuonyesha mshabiki wa Simba ishara kusugua mkono
 
Ina maana kwamba wa Yanga alikuwa anaendelea kutoa adhana huku akionyesha ishara ya kumwambia mpenzi wa simba kwamba anakaz.........kwa kusugua mkono usawa wa tumbo hebu kunja ngumi halafu sugua mbele ya tumbo lako kulia
 
basi nina kichwa kigumu mpaka hapa sijaelewa!!!!!!!!
 
.................kifupi anaonyesha ishara ya matusi kutumia mkonowa kulia, hebu fanya hivi ukiwa umesimama au umekaa halafu kunja ngumi ya mkono wa kulia au kushoto, kisha fanya kama unasugua mbele ya tumbo lako ukiwa hujaligusa tumbo lako........
 
Sijacheka!
 
Mkuu kwa kifupi haichekeshi hata kidogo,ila hyo sign ya kukaz..wa huwa hausugui tumbo bwana ila ni unakunja ngumi alafu unafanya kama unapunch teke ya mawashgeli.
 
Back
Top Bottom