JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Rejea mada tajwa Uzi huu ni kwa ajili ya VISA/ MIKASA ya kushangasa na pengne mtu akaja na jawabu la mkasa wako unamaanisha nini au tafsiri ya mkasa ulionao. Mimi nimehama mkoa wa ziwa na...
4 Reactions
7 Replies
550 Views
Weekend tunapumzisha vichwa na vodka kubwa Kidogo We weekend imekukuta wapi ? Missing rhumba kipindi Niko na Marehemu Akukweti, na Magufuli! Japo nilikuwa mdogo kwao! Masilingi upo Powa? Britanicca
20 Reactions
143 Replies
5K Views
Jamani niko mkoani Kagera kikazi, nimetahadharishwa nisiende kijiji cha Buzi, wanakula nyama za watu, nasikia hata wamachinga hawaendi huko kufanya biashara.
0 Reactions
60 Replies
15K Views
Signed out forever
29 Reactions
184 Replies
4K Views
Jamani habarini. Niko Dodoma ambae anafahamu sehemu nzuri amabayo ina mziki na naweza angalia mpira naomba maelekezo tafadhali Niko Dom muda huu.
2 Reactions
54 Replies
11K Views
Nmejiuliza sanaa Maswali Mengi kuhusu Hospitali ya ugonjwa wa akili kwann waliamua kuijenga Dodoma. Wakuu Naombeni Maelezo juu ya hili jambo,Twende kazi sasa.
2 Reactions
48 Replies
2K Views
Hii bard Arusha n hatar utaweza jukuta unamaliza k vant kubwa mbili na usilewe
1 Reactions
7 Replies
432 Views
Wakuu muwe na siku njema yenye mafanikio. Mungu awafungulie Milango ya Baraka. Chochote mtakachokifanya kikafanikiwe zaidi.
8 Reactions
10 Replies
351 Views
Ni aibu ambayo ni ngumu kuikana na utajihisi guilty Miaka ya nyuma kuna kipindi niliwahi kuishi kwa mjomba nikiwa nasoma form 5, Nilianza tabia sugu ya kujichua huku naangalia video za x, kwangu...
4 Reactions
16 Replies
774 Views
Shalom, Naomba Mwenye ile clip ya kanumba: kamshahara kangu ni kadogo mno siwezi kumhudumia mpenzi wangu anitumie
1 Reactions
2 Replies
451 Views
Mimi kazi yangu ni kukuonya kijana uache tabia za uzinzi na ulevi. Leo nakazia tena hasa kwenye uzinzi. Kijana acha uzinzi. Acha uzinzi
9 Reactions
48 Replies
3K Views
“ISHI” na watu vizuri matatizo yana tabia ya kukupeleka kwa watu uliowakosea!! ✍🏾 #HappyThursday 🙌🏾
4 Reactions
10 Replies
433 Views
Tanzania imeitaarifu Zambia kwamba hawako tayari kumpokea balozi wao mpya kutokana na majina yake kubeba tafsiri isiyokubalika katika jamii ya Watanzania. Balozi huyo mpya anaitwa Mr Musenge Mukuma.
8 Reactions
30 Replies
24K Views
Hii tabia kuna mtu ameshakutana nayo? Unaenda dukani kununua maji makubwa unapewa ila ukifika nyumbani wakati wa kufungua unagundua hakuna seal 1. Nikiwa Mgahawa fulani nje ya mji niliagiza maji...
2 Reactions
7 Replies
689 Views
Anyway ni kukumbushana hasa wakati hu wa weekend tusiamini sana hotel ama baar zetu jamani usile ukashiba ukakimbilia kufungua mlango mara umemaliza shuguli kuangalia maji hakuna toilrt paper...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Habari wakubwa, Nimesikiliza Tangazo la Konyagi wanasema inatakiwa ilale na isisimame je Pombe kali kama Konyagi/Kvant kwanini wengi wanapenda kuilaza sababu nikinywa ulevi ni ule ule tu...
1 Reactions
5 Replies
608 Views
Shikamoooni wakubwa, wadogo marahabaa.. Katika maisha kuna vitu vingi mwanadamu hupitia vingine vinakuumiza, ila mwisho wa siku unapata la kujifunza. Ule usemi wa mjini Shule nikadhani kuna...
10 Reactions
38 Replies
4K Views
Nimefukuzwa kazi usiku nikiwa ukumbIni na konyagi yangu alafu gari la ofisi wamelichukua bila kuambiwa hata kunibeep ila sikuwa na bando sababu mimi ndio mpandishaji wa vifurushi. Kilichoniuma...
3 Reactions
8 Replies
515 Views
Back
Top Bottom