Hongera Jk Kwa Kukemea Makandarasi Wabovu

Ipole

JF-Expert Member
Apr 15, 2008
294
12
Kutokana na baadhi ya wakandarasi kuingia katika ujenzi wa barabara kushindwa kutimiza mikataba yao, Katika kipindi au muda uliopangwa.

Nadhani ni vema watendaji nao mhe jk ukawaangalia upya kwa kuwa mikataba mingi mibovu inasababishwa na watendaji wakuu kwa kuwaacha makandarasi wenye uwezo na kuwabeba makandarasi wasio na uwezo kwa maslahi yao.
 
lete habari ambazo zinazohusu kuanguka kwa mafisadi aka mibiyu,kukemea sio dawa kama yeye anajua kuna makandarasi wabovu mbona kila kukiwa na tender za ujenzi wa barabara wanawapa hao hao.tumechokwa na kauli za huyo kikwete na swahiba wake mizongo pinda aka mr mizengwe
 
Ndugu yangu Kiroboto kazi ta kujenga siyo mchezo na bora upewe kazi kuchunga mbuzi 1000 kuliko binadamu pamoja na kuwatoa mafisadi inatakiwa kulinda ili mafisadi wasongezeke
 
Hakuna cha kumpongeza hapo kazi bado tena bado sana.....tatizo ni kulindana tu hawa watu wanawalinda sana hawa makandarasi haswa hawa TANROADS wanawalinda sana.Swala hapa nikuisafisha TANROAD mafisadi kibao humo hata kwenye mizani.
 
Kutokana na baadhi ya wakandarasi kuingia katika ujenzi wa barabara kushindwa kutimiza mikataba yao, Katika kipindi au muda uliopangwa.

Nadhani ni vema watendaji nao mhe jk ukawaangalia upya kwa kuwa mikataba mingi mibovu inasababishwa na watendaji wakuu kwa kuwaacha makandarasi wenye uwezo na kuwabeba makandarasi wasio na uwezo kwa maslahi yao.
asante kwa taarifa
 
Back
Top Bottom