JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Namtafuta Sana Mshana Jr, nimejaribu kumcheki PM ila haikubali kutuma
7 Reactions
27 Replies
2K Views
Enzi zetu tulikuwa tunakosea zaidi yenu. Enzi zetu teknolojia haikua njema kama leo. Enzi zetu tulijiachia kwa mengi zaidi ya leo. Inawezekana miaka yetu tulikosea pakubwa zaidi ya makosa yenu...
5 Reactions
12 Replies
515 Views
Umezaliwa mwezi Agosti? Tazama video kufahamu tabia unazofanana nazo pamoja na kuwafahamu zaidi watu wengine waliozaliwa mwezi huu.
9 Reactions
21 Replies
3K Views
Hii ndio ile Sold out tunayotamba nayo, unanunua bia 4 kisha unajipatia ticket ya bure ya Simba Day.
5 Reactions
27 Replies
1K Views
Yaani unaweza 'Ukaukweka' huku ukiwa unakula Chakula chako Safi huku kwa nje ukiwakodolea tu Bundi na Ngedere.
0 Reactions
1 Replies
338 Views
Katika kizazi hiki chenye watu wenye NGUVU ya pesa, BRO 😎 ukipata mwanamke MWAMINIFU na huna pesa...mheshimu sana huyo dada na muombe abaki na wewe🌚!!
2 Reactions
1 Replies
157 Views
Hii huwatokea wanafunzi wengi wa vyuo kwa ndugu zao. Kama mtu unaweza hebu jitume mwenyewe tafuta njia yoyote ya kujitafuta ili upate pesa za kujikimu. Avoid it.
4 Reactions
6 Replies
424 Views
Wanawake 3 hatari zaidi , mke wa mtu, mwanafunzi watatu malizia ni nani?
0 Reactions
2 Replies
699 Views
Wanaume, Kuachwa na mwanamke mpenda pesa ni sawa na kumaliza deni la mkopo benki
1 Reactions
0 Replies
335 Views
Yaani kila nikiwatizana 'Wakubinuka' daima hata kwa Kuwatizama katika Kioo ninaona Wote wamejawa na Hasira Kali.
1 Reactions
4 Replies
476 Views
Niko mpweke humu jamani. Nahitaji mtu wa kunichangamsha, mwenye kujua mapenzi hasa muda wote niwe na furaha. Pleeease!!!
6 Reactions
178 Replies
10K Views
Kawaida yangu nilikuwa nakaa nalalia blanketi hata mwaka mzima sijafua tena nilikuwa napiga kavu situmii shuka la kuzuia jasho ama uchafu mwengine. Dry cleaners wanatusaidia sana maana kufua kwa...
2 Reactions
35 Replies
653 Views
Humiliki kiwanda chochote, hakuna bidhaa unayozalisha na kuipelekea nje; wewe kila siku ni kulia lia tu. Mshahara ukichelewa tu kidogo, unakimbilia kwenye ule uzi pendwa. Kwa upande wangu, mi...
10 Reactions
28 Replies
869 Views
Tunaomba na kushukuru kwa yote Mungu anayotutendea.
2 Reactions
7 Replies
526 Views
Haya ni maamuzi yangu sijashawishiwa na mtu na sitegemei ahsante ya aina yoyote
2 Reactions
3 Replies
841 Views
Daaah haya maisha aiseeh, ndio maana kuna msemo usemao “PONDA RAHA KUFA KWAJA” Sasa nimejikuta SITESEKI kabisa zaidi ya miezi 2 kumbe bwana nakula “MTAJI” 🥺
9 Reactions
11 Replies
525 Views
Huyo Binti sijaona vionjo vyake humú,muongo mmoja,she was gifted in story telling.ukisoma story zake utafikiri umeshika kitabu Cha James Hadley Chase! Haboi Wala kupoa. Maua yake popote alipo.
4 Reactions
6 Replies
452 Views
Ndugu zangu poleni na shughuli za ujenzi wa taifa, nimeona nijaribu Ku discuss na nyie kuhusu yanayompata snura, Kiukweli naamini kabisa kuwa matendo yako yanaweza kuwa chanzo cha matatizo yako...
3 Reactions
1 Replies
6K Views
Signed out
51 Reactions
258 Replies
8K Views
Back
Top Bottom