X-PASTER
JF-Expert Member
- Feb 12, 2007
- 11,605
- 1,843
Kuna Mpare mmoja anaishi karibu na Benki, baada ya kushawishiwa kwa muda mrefu na ndugu na marafiki zake aweke pesa Benki kwa usalama wa pesa zake, kwa taabu sana akakubali kuweka pesa Benki. Kuanzia siku hiyo alizoweka hizo pesa, usiku kucha anakesha dirishani na filimbi mdomoni, kila akipita mtu karibu na hiyo Benki, Mpare wa watu anapiga filimbi kuwaamsha walinzi piii... piiiii....! Wote woga anaogopa, asije mtu akaiba pesa zake.
kuda deki...
kuda deki...