ilikuwa tarehe 29.01.2011 juma mosi usiku.
nilipoingia humu ndani ya JF nika haribu mambo..
nilienda kwenye Calender nikaweka birthday yangu usiku huo..
badala ya mwezi wa 11.. mimi nikaweka mwezi...
Kuna mwongozo ulioasisiwa na babu Asprin kuwa memba wapya hususan 'ke' wanakaguliwa na babu kwa usalama wa wana JF! mwongozo huo umefahamika kwa memba wote wa cc na mmu kazi ambayo kwasasa...
jamani hizi simu za kutach tach hizi mbona majangaa
boss wa smile:mbona hukunipigia tena jana
smile: nilimaleza repooort usiku bosso nikaona muda huo utakuwa umelalwa sana
Kwa mujibu wa vitabu vitakatifu, mambo mabaya yote ni mkono wa shetani.
Hizi ni baadhi ya faida zake.
1. WIZI
Wizi umesaidia vijana kadhaa kupata ajira na kujipatia rizki ya kila siku...
Wanajamvi, hii ni hadithi nzuri sana inayohusiana na vidole 20 (ishirini) vya miguu ikisimuliwa kwa dakika 20.
Ipitie uone utamu wake alafu nawe utoe duku duku lako.
Huenda ikawa ngumu kueleweka...
FILL THE FORM IN OWN HAND WRITTING AND IN BLOCK LETTERS.
I, _________ , hereby apply to marry your daughter Sir.
I am _____ years old.
Please answer the following questions
honestly.
1...
Leo nimecheka sana wanajf,hz meseji nyngine balaa tupu,rfki yangu kanitumia meseji iliyo kwenye mfumo wa swali eti
Kati ya samaki na chupi kipi huvuliwa mara nyingi?
uwanja wenu sasa.......
Dogo mmoja alikua amekaa na dingi yake,Ghafla demu wake akaja.
DOGO:karibu sana,vp umefata kile kitabu chako cha 'SPEAK ENGLISH MY FATHER CANNOT UNDERSTAND?
DEMU:ndio,nipe na kile cha 'WHERE CAN...
People are not as nice as animals, if animals wanted anything more than regular meals and shelter, the'd be just like people. people don't want only what they need. They want more , always more...
Salam wakuu,
Za mchana! Kuna huu mtindo umeenea siku hizi wa kufowardiana hizi sms za kidini sijui tuma kwa watu 10 ndani ya dakika kadhaa utapata muujiza na ukipuuzia utalaaniwa. Hizi sms...
Habari zenu wana JF. kabla hatujamaliza mwaka napenda kutoa kitu ambacho sintosahau 2013. >ilikua april 2013 saa 4 usiku maeneo ya magomeni kagera. nimetoka kununua wali kwa mama ntilie niende...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.