"Ukaguzi kwa memba wageni hapa mjengoni"

Mwanyasi

Mwanyasi

JF-Expert Member
7,835
2,000
Kuna mwongozo ulioasisiwa na babu Asprin kuwa memba wapya hususan 'ke' wanakaguliwa na babu kwa usalama wa wana JF! mwongozo huo umefahamika kwa memba wote wa cc na mmu kazi ambayo kwasasa inafanyika chini ya Filipo .
swali ni je memba wa kiume wanakaguliwa na nani? kama hayupo tuchague?

cc: Chocs Lady doctor Arushaone Baba V Madame B Blaki Womani KOKUTONA watu8 YNNAH kiwatengu Mentor Ladymasa Mamndenyi Passion Lady Smile na wana jf wote
 
Last edited by a moderator:
kiwatengu

kiwatengu

JF-Expert Member
15,245
2,000
Idara ya ukaguzi kwa upande wa Ke inalegalega
 
YNNAH

YNNAH

JF-Expert Member
1,679
1,225
Yani umefanya jambo la maana sana Mwanyasi kutaka wanaume nao wakaguliwe, mana walikuwa wanaingia ingia tu humu.
 
Last edited by a moderator:
bysange

bysange

JF-Expert Member
4,427
1,250
manyasi ukaguzi kwa wanaume unahusu kipengele kipi haswa...Lol!
 
Last edited by a moderator:
Chocs

Chocs

JF-Expert Member
8,237
1,500
Naomba kuuliza huku kukaguliwa ni kwa namna gani? Sehemu zipi zinakaguliwa? Ni kama airport or?

Na kwanini wa kike akaguliwe na wa kiume na kiume kukaguliwa na wa kike?
Mwongozo tafadhali

cc Filipo Mwanyasi Madame B Baba V Asprin
 
Last edited by a moderator:
kiwatengu

kiwatengu

JF-Expert Member
15,245
2,000
Yani umefanya jambo la maana sana Mwanyasi kutaka wanaume nao wakaguliwe, mana walikuwa wanaingia ingia tu humu.
njoo unikague basi
 
Last edited by a moderator:
Chocs

Chocs

JF-Expert Member
8,237
1,500
Naomba kuuliza huku kukaguliwa ni kwa namna gani? Sehemu zipi zinakaguliwa? Ni kama airport or?

Na kwanini wa kike akaguliwe na wa kiume na kiume kukaguliwa na wa kike?
Mwongozo tafadhali

cc Filipo Mwanyasi Madame B Baba V Asprin
 
Last edited by a moderator:
Passion Lady

Passion Lady

JF-Expert Member
8,680
1,500

hapa kazi na dawa
wakaguzi wapo subiri
watakuja,we umekaguliwa?
 
Watu8

Watu8

JF-Expert Member
53,137
2,000
Shemkwe we utakuwa ulikimbia chumba cha ukaguzi si bure....

Naomba kuuliza huku kukaguliwa ni kwa namna gani? Sehemu zipi zinakaguliwa? Ni kama airport or?

Na kwanini wa kike akaguliwe na wa kiume na kiume kukaguliwa na wa kike?
Mwongozo tafadhali

cc Filipo Mwanyasi Madame B Baba V Asprin
 
Last edited by a moderator:
Mamndenyi

Mamndenyi

JF-Expert Member
30,514
2,000
Kuna ma bi dada watatu walikuwa wanafanya hiyo ya kukagua me. Ni kama walianza kuzidiana kete. Pengine wakipita hapa watajitambulisha. Mi nina bifu nao as walianza kukagua hata baba zao.
 
Forum statistics

Threads
1,424,934

Messages
35,076,363

Members
538,167
Top Bottom