Sintosahau yangu 2013

faraday

Member
Nov 27, 2013
38
0
Habari zenu wana JF. kabla hatujamaliza mwaka napenda kutoa kitu ambacho sintosahau 2013. >ilikua april 2013 saa 4 usiku maeneo ya magomeni kagera. nimetoka kununua wali kwa mama ntilie niende kulia geton kwangu. pind narud nakatza kona ya 1 ya 2 tu gafla nikawahiwa NILIPIGWA ROBA YA MISUMAL NA TEJA WA KIKE MPAKA HAJA KUBWA IKATOKA BILA KUJIJUA. Nilihisi roho imetoka wakachukua ule wali nilinunua pamoja na chenj zilizokua zimebaki 3500, kiukwel niliumia sana wik 2 sili ugal wala wal ilikua ni uji tu. VIPI WEWE MDAU NI JAMBO GANI HUTOSAHAU 2013.
 

Nyamgluu

JF-Expert Member
Mar 10, 2006
3,141
2,000
hahahahaha! sijui kama utapata michango serious faraday maana umeanza kwa kituko sana!
hahahaha! Dah pole aisee. so ukaloweka boxers usiku huo na kufua asubuhi au?
 

reynod

JF-Expert Member
Apr 17, 2013
299
250
"HAJA KUBWA IKATOKA BILA KUJIJUA." daa pole sana.inachekesha lakin,omba yasikukute.
 

faraday

Member
Nov 27, 2013
38
0
hahahahaha! sijui kama utapata michango serious faraday maana umeanza kwa kituko sana!
hahahaha! Dah pole aisee. so ukaloweka boxers usiku huo na kufua asubuhi au?

Omba sana wasikuwahi ( wasi kutaim) maana hawana huruma hata kidogo wale watu yan nyama kabisa wale.
 

vungwe

Senior Member
Nov 2, 2013
127
225
mmmmmh masikini poyeee
...ila ngoja nicheke kwanzaaa teh teh teh etiii haja kubwa nayo ilihusikaa ..daaaaa
 

strong ruler

JF-Expert Member
Nov 2, 2013
4,802
2,000
Hahaha umeona madhara ya kubana bana haja kubwa pindi inapokubana?? Ikitokea dharula kama hiyo lazima unye bila kujijua...
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom