Hadithi ya vidole 20!

Hadithi ya vidole 20!

omujubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2011
Posts
4,444
Reaction score
2,702
Wanajamvi, hii ni hadithi nzuri sana inayohusiana na vidole 20 (ishirini) vya miguu ikisimuliwa kwa dakika 20.
Ipitie uone utamu wake alafu nawe utoe duku duku lako.
Huenda ikawa ngumu kueleweka kwa 'vilaza' lakini kwa great thinkers najua mko swaaafi.
The-story-of-Toes-told-in-20-min.jpg
 
peleka jukwaa la MMU tuone kama na wao wataelewa coz naona...haya mkuu umetisha
 
HEHEEHEHEHEHEHEHHEHEHEHEHEHHEHEHEEEEEEEEEEEE! KICHEKO cha umbEYA!
 
Hadithi nzuri saaaaaaaaaaaana...... ongeza nyingine 20 kaka...
 
Sio lazima vidole 20 wengine tuna mguu mmoja, lakini kazi inapigwa kinyama.
 
yalaaa! mbavu zangu,,,,dah brother inabidi tuitafute na hadith y vidole 20 vya mikono
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom