Mh..!!!

...ni kama panga na tupa...ukinoa panga kwa tupa,tupa inalika na panga linalika mwisho wasiku panga linaisha na tupa inaisha...

very true, ila kuna watoto wa mjini humu hawajui tupa labda ungewaelewesha kidogo...
 
Back
Top Bottom