Faida za Shetani na Ibilisi

Mzee

Mzee

JF-Expert Member
13,490
2,000
Kwa mujibu wa vitabu vitakatifu, mambo mabaya yote ni mkono wa shetani.

Hizi ni baadhi ya faida zake.

1. WIZI
Wizi umesaidia vijana kadhaa kupata ajira na kujipatia rizki ya kila siku.

Kama wizi usingekuwepo nani angeajiri mlinzi???.

2. Biashara ya Pombe.
Vijana wengi wameajiriwa kama wahudumu ktk bar mbalimbali.

Je tungeamua kuachana na ulevi/ unywaji wa pombe hawa vijana wote wangefanya kazi gani???

3. Ukahaba.
Vijana wengi wameamua kujiajiri kwa kutumia miili yao waliyopewa na mungu.

Huu ni ujasiriamali wa miili yao.

4.

5.

6.


Je! tungeamua wote kumfuata Mungu na kuachana na Shetani Hawa vijana wote wangefanya kazi gani?????

NB:
Hakuna kitu chenye faida au hasara tupu. Inategemea wewe utachukua upande gani...

Nawasilisha.
 
Baba V

Baba V

JF-Expert Member
19,503
1,500
Umetokea wapi leo Mzee..!?
 
Last edited by a moderator:

Forum statistics


Threads
1,424,934

Messages
35,076,363

Members
538,167
Top Bottom