wapendwa mnisamehe bure..

afrodenzi

Platinum Member
Nov 1, 2010
18,145
9,207
ilikuwa tarehe 29.01.2011 juma mosi usiku.
nilipoingia humu ndani ya JF nika haribu mambo..
nilienda kwenye Calender nikaweka birthday yangu usiku huo..
badala ya mwezi wa 11.. mimi nikaweka mwezi wa kwanza

kweli wapendwa naomba mnisamehe bure kwa kuwapotezea muda wenu kujibu..
na msamahaa zaidi uwende kwa alieandika hiyo thread..
nimeona imelete migogoro kidogo humu ndani..

yote makosa yangu ndo maana niko mbele yenu kuomba radhi..
 
Dont Worry, Things Happen...,
We all Make Mistakes...,
We let Bygones be Bygones... and we move on...,
 
heheheeh bwana hayupo subiri arudi....tukiwa mie na wewe tuu chumba kitakuwa kikubwa,,,,,bora tuwe sote.. :clap2: :clap2::clap2:
hahahahaha lol
hii misamaha migine bwana duuhh..
vipi mpenzi turudi kule chumbani kwako nikakusaidie
hahahah lol
 
worry not galfriend,was part of funny anyway,,,

ila una kesi ya kujibu kwa fainest................
 
Binadamu wote tunakosea, na jambo linalomfanya binadamu atukuke ni KUKIRI MAKOSA na kusema: NISAMEHE. Kwa kuwa umelifanya hilo sioni kwa nini usisamehewe. Mimi ninatanguliza yangu- Umesamehewa. :clap2:
 
heheheeh bwana hayupo subiri arudi....tukiwa mie na wewe tuu chumba kitakuwa kikubwa,,,,,bora tuwe sote.. :clap2: :clap2::clap2:

hahahahah lol
haya bwana
hata mie namsubiria kwa hamu .
labda kazama kwenye Google anatafuta sura mpya lol
hahahah lol
 
Binadamu wote tunakosea, na jambo linalomfanya binadamu atukuke ni KUKIRI MAKOSA na kusema: NISAMEHE. Kwa kuwa umelifanya hilo sioni kwa nini usisamehewe. Mimi ninatanguliza yangu- Umesamehewa. :clap2:

oohh dear
asante sana
that means a lot to me
 
yaani nikusamehe hivi hivi bila fimbo??!!! Aaah hapana, utarudia wewe . . . lala chini, nasema LALAAAA
 
Umesamehewa mbona kosa lenyewe dogo tu bana. Mie NIMEKUSAMEHE hilo ni tatizo la kumbukumbu
 
Ulitaka kuchakachua umri!!!! lol... dont worry, makosa kama haya happen all the time
 
Back
Top Bottom