Wakuu nawaombeni tafadhalini kwa yoyote mwenye contacts za msanii JB anisaidie maana nahitaji kuwasiliana naye. Ni suala la kisanii naomba uni PM. Natanguliza shukurani, Mobile number or e-mail.
Wakuu mwenzenu hapa nina mawazo balaa, hili kombe la dunia mwaka huu linaninyong'onyeza sana..
Nikifikiria mechi zitakazokuwa zinachezwa usiku wa manane stimu zinakata..
Mechi za FIFA ndio...
zamani magari yalijulikana mpaka mngurumo na kwakweli yalikuwa yanavutia na ni imara sana, leo hii kuna kila aina kila shepu na kila jina, mfano fun cargo, na vile vinavyoitwa wema sepetu huwa...
Letter from XYZ of Bongo to Mr. Bill Gates of Microsoft
Subject: Problems with my new computer
Dear Mr. Bill Gates,
Sat 2008.
We have bought a computer for our home and we...
Mwanaume mmoja alienda kuomba kazi kwenye ZOO,Akaambiwa nafasi ya kazi ipo ila hakuna sokwe."Hivyo utajifanya sokwe na tutakupa ngozi utavaa"jamaa siku ya kwanza alivaa,walipokuja watalii mambo...
Ilikuwa hivi.......
Jamaa mmoja aliishi mjini kwa muda mrefu toka alipotoka kijijini hakuwahi kurudi hadi ikafikia akaamua kuoa.
Baada ya ndoa aliamua kwenda kijijini kwa wazazi wake kumwaonyesha...
humu kunamajukwaa tele zaid ya 40
hv jukwaa gani ambalo unalisikia ila hujawahi hata kutupa mchango wako pale. mfano wangu jukwaa la siasa, dini, kenya forum n.k
Nilitokea kumpenda huyu dada. Nikafanya jitihada zote mpaka tukafahamiana. Kutokana na kupanuka kwa technologia, nikawa najipitisha pitisha kwake kwa njia ya Watsapp. Sijui nini kilimuudhi...
Jamani,ninatezamaga vituo kadhaa vya tv hapa nchini na hakuna hata kimoja kati ya hivyo kinachotangaza saa kama kwenye radio, hasa kabla ya taarifa ya habari. Hivi kweli ni kwa nini?
Idd Amini Dada wa Uganda alikuwa mahiri sana wa Lugha ya Kiingereza...Miongoni mwa hotuba zake ilikuwa na maneno yafuatayo;..
His Excellency President for Life, Field Marshal Al Hadji Doctor Idi...
Siku hizi kila mtu anataka kuonekana boss, hata kama anafanya kazi ya kuzoa taka, hapendi kuitwa mzoa taka atatafuta jina la ki-english lililokaa kiboss boss ajipachike. Hebu cheki hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.