kwakweli shepu za majina ya magari vimeisha

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,455
Reaction score
872,090
zamani magari yalijulikana mpaka mngurumo na kwakweli yalikuwa yanavutia na ni imara sana, leo hii kuna kila aina kila shepu na kila jina, mfano fun cargo, na vile vinavyoitwa wema sepetu huwa nikivionaga nacheka mno
 
sivijui hivyo wema sepetu, hebu weka kapicha nikaone....
 
zamani magari yalijulikana mpaka mngurumo na kwakweli yalikuwa yanavutia na ni imara sana, leo hii kuna kila aina kila shepu na kila jina, mfano fun cargo, na vile vinavyoitwa wema sepetu huwa nikivionaga nacheka mno
Wanichekesha Mshana Jr. Kama kuna vigari vinaitwa wema sepetu, modeli ya diamond platinum imeshaingia au bado iko kiwandani?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom