Pipoooo! Tuache kuwaita watu majina ambayo sio sahihi. Tuwaite kwa majina yao ya kitaalamu kutokana na ujuzi na kazi zao!
*Shambaboi jina lake la heshima ni Landscape Executive and Animal...
Watoto wa siku hizi balaa tupu. magufuri alikuwa na mkutano, akasema wenye majumba waliojenga karibu na barabara nyumbazao zitawekwa X. watoto wote wakashangilia kwa furaha, Heeeeee. akakaita...
Japo huwa hatupatani,lakini namwelewaga sana huyu Heaven on Earth
nahisi itakuwa poa sana tujenga mahusiano,na endapo anakubaliana nami yawe ya ki-jf tuu
labda kama tukinogewa,nahofia tu...
Helooooww members mpoooo!!
Jamaa alikuwa amekaa ndani ya club. Changudoa akamsogelea na kumwuliza,
"Unataka mambo yetu?"
Jamaa akamwambia, "Ndio. Lakini, unaweza kunipa kama mke wangu?"
Changudoa...
Naona tuwaite watu kwa majina yao ya kitaalamu kutokana na ujuzi na kazi zao wanazozifanya kila siku. Hii itasaidia kungeza heshima na nidhamu mahala pa kazi kwa mfano:
*Shambaboi jina lake la...
Jamboooo!!
kwa muda kidogo nimekuwa nje ya jf na mara chache sana kuwa msomaji zaidi wa coments za wadau jf bt for nw FIRST BORN is back again.
Ninafurahi sana kwa sababu pia naziona ID mpya...
Stop calling others with old titles, just use the new ones.
Garden Boy- Landscape Executive and Animal Nutritionist
Receptionist - Front Office Manager/ Office access Controller
Typist -...
Raha a.k.a kula bata ni kitu muhimu maishani. Kula raha kunasababisha mtu ujisikie vizuri hata kama maisha ni magumu.Mimi kwa upande wangu kama nataka kula raha huwa nachukua airphone yangu na...
haya herufi hizo hapo type ID yako kulingana na herufi hizo
A= ka, B=tu, C=mi, D= te, E= ku,
F=lu, g= ji, H=
ri, I= ki, J= zu, K= me, L= ta, M= rin,
N= to, O=
mo, P= no, Q= ke, R= shi, S=...
Sasa hivi hali imekua ngumu ila zamani kuokota hela ilikua kawaida sana..mimi sintosahau siku niliokota laki moja na elfu tisini mwaka 2003 kwenye corridor ya jengo la utawala hospitali ya mkoa...
Habar wana JF wote nawapenda sana members wote japo nimekuja kivingne naomba kampani yenu cc himidin nameless girl christine ibrahim miss nedy Evelyn Salt masai dada na wengne wengi.
Usije kariri hata siku moja kwamba 3x1 ni sawa na 1x3 kama huamini kuwa si sawa fanya hivi kama una malaria kali nenda hospital wakikupatia qunine wakakwambia meza 1x3 wewe meza 3x1 hapo ndo...
BOYFRIEND: Hallooo
GIRLFRIEND: Hallooo
BOYFRIENDI: hearded you faileded English
GIRLFRIEND:Haa jamaa waongo sana who tolded you?
BOYFRIEND:Your friendship Halima
GIRLFRIEND:She is lie sana...
Sister duu mmoja alikuwa kwenye dada sasa akajamba kwa sauti bubububu buububu,
watu wote wakamgeukia kwa hamaki basi ili kupoteza maboya akatoa simu yake na kujifanya ameipokea na kuanza kuongea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.