Shiiiiiiiiiiiiiiii...Kausha

Murano

JF-Expert Member
Mar 11, 2012
2,062
2,000
Mwanaume mmoja alienda kuomba kazi kwenye ZOO,Akaambiwa nafasi ya kazi ipo ila hakuna sokwe."Hivyo utajifanya sokwe na tutakupa ngozi utavaa"jamaa siku ya kwanza alivaa,walipokuja watalii mambo yalienda vizuri.siku iliyofuata banda lake liliwekwa kwa juu.jamaa katika kuongeza mbwembwe kwenye kazi yake akawa anarukaruka.kwa bahati mbaya si akaanguka ndani ya banda la simba.Akawa anapiga kelele"Mama nakufaaaa!!!!!"Mara yule simba akamwambia "Acha kelele mimi mwenyewe kama wewe,rudi kwenye banda lako haraka kabla watalii hawajaja!!!!!!"
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom