Mi nikitoka job naenda pata lunch.. halafu kikao na washkaj sehem kama mbili tofauti..mida ya saa mbili au tatu narudi hm.. kesho j2 sitoki hm.. wewe je
Kuna mtu aliwahi niambia hawa watu sio wachoyo kabisa hasa wadada.
I have now proven beyond dought huu ni ukweli 99.99%.
kama huamini Jaribu utaniambia.
A c o l o l f l k i n d d g o o d l i d f g r e a tf u l l s x y n w s h u m b l e g o d f e a r i n g h a h y p e r l o g i c s o c i a l g k s h y l o y a l f r i e n d l y d o u n d e r s t a...
Katika hali isiyokuwa ya kutarajiwa kiungo mshambuliaji yaya toure wa manchester city amesaini mkataba wa miaka 2 kuichezea arsenal. Toure (31) amengia katika mvutano na club yake wiki iliyopita...
Mapenzi ya Kibongo sawa na umeme wa Tanesco. Muda wowote yanakatika, unatakiwa uwe na Kijenereta kidogo pembeni, ukifanya Bwiii.
Na wewe unawasha mwaaaah.
DALILI ZA MTU MUONGO MUONGO
1.Ukiona mtu anasema yupo veta anasomea biashara ujue kuna kitu
2.Ukiona mtu Kaandika yupo canada alafu ukikatika umeme mbagala anawatukana tanesco ujue kuna kitu...
Wana jamvi hebu toa yako ya moyoni, leo umemaliza vipi siku yako? Upande wamgu nimefunga kwa stress na misonyo. Muda huu natoka job yan nimesimama kituoni zaid ya saa limoja kupata gari nimesimama...
Nimekuwa nasumbuliwa sana kutaka kufahamu, ngoja nianze na mimi mwenyewe binafsi ni hivi:-
Kabla mama yangu mpendwa hajanileta hapa duniani jee nilikuwa najihisi hisi vipi?
Je nyie wenzangu...
Hiki kisa kilinitokea mimi binafsi.
Siku moja bwana nikaamua kuingia kwenye banda la kuku kukagua hali. Nikamkamata jogoo mmoja na kumkagua vizuri. Nikagundua utitiri mwingi kwenye kilemba chake...
Rasta bwana kila siku anavuta bangiiiii!!!!
mkewake akamwambia "na mimi siku moja nitavuta nione raha yake"...Siku hiyo rasta kaingia chooni akaacha bangi mezani ....Mkewe akavuta...
Thamani yake hamuijui naijua mie mapenzi yake matamu wacha niwambie makubwa nimeona kwake sitaki niwahadithie niacheni na mpenzi wangu mapenzi anayonipa yanakata kiu yangu me jamani huyu ni wangu...
Habari zenu wakuu..ebhana natafuta kiwanja cha kununua dar sehemu yoyote ile.. bei ikizid 5m ntakuwa muongo..plls walio serious mawasiliano ayo apo 0758596153
Mmh wajameni humu ndani kuna watu wana waume zao, wake zao, watoto, wakwe, mawifi, mashemeji, kaka zao, dada zao, wapenzi, majirani, mama, baba, bibi, babu n.k.....
mie tu ndo sina ndugu au...
Nike Condoms: Just do it.
Mentos Condoms: The freshmaker.
Macintosh Condoms: It does more, it costs less, its that simple.
California Lotto Condoms: Who's next?
McDonalds Condom: One Billion...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.