Kombe la Dunia linanitia mawazo

jaqfantasy212

JF-Expert Member
Dec 17, 2012
542
195
Wakuu mwenzenu hapa nina mawazo balaa, hili kombe la dunia mwaka huu linaninyong'onyeza sana..

Nikifikiria mechi zitakazokuwa zinachezwa usiku wa manane stimu zinakata..

Mechi za FIFA ndio hizo usiku mnene na mechi za ndoa yangu nitacheza saa ngap?

Nisaidien kupanga ratiba..
 
Daudi1

JF-Expert Member
Dec 14, 2013
6,815
2,000
Sasa hizo za FIFA si unaangalia tu unaweza kuangalia hata recorded hizo za kwenye ndoa wewe ndo mchezaj tena kiungo mkabaji unataka nani achukue nafasi yako?
 
Daudi1

JF-Expert Member
Dec 14, 2013
6,815
2,000
Kuangalia recorded match hazinogi..
Kama hazinogi ndo pa kuchagua kuangalia mechi za FIFA ili mwenzako afanye usajili wa dirisha dogo maana mechi za FIFA ni mwezi mzima ukichukulia na ka hali kaubaridi haka kana hitaj mechi kali au kuachana na mechi za FIFA ambazo unaweza kupata matokeo au kuangalia recorded ili hali kwenye mech zako uko fiti
 
CharmingLady

JF-Expert Member
Apr 16, 2012
18,113
2,000
Wakuu mwenzenu hapa nina mawazo balaa, hili kombe la dunia mwaka huu linaninyong'onyeza sana..

Nikifikiria mechi zitakazokuwa zinachezwa usiku wa manane stimu zinakata..

Mechi za FIFA ndio hizo usiku mnene na mechi za ndoa yangu nitacheza saa ngap?

Nisaidien kupanga ratiba..

Omba likizo ili mechi za hm uwe unacheza mchana...

Baaaaaaasssssssss......
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom