Hivi ni kweli?

Hivi ni kweli?

sokwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2011
Posts
2,022
Reaction score
1,065
Ivi Kwanini kila mtu kwenye uhusiano mpya huwa anadai ametendwa? Kwanini atukubali wakati mwingine tumeharibu?
 
Kwa mfano ukisema nimeachwa na mpenzi wangu kwakuwa alinifumania na mwanamke mwingine unafikiri utakubaliwa hata kama ndo ukweli wako? hapo lazima ukandie sana tena sana,muda mwingine hilo suala la kufumaniwa unaweza ukambebesha yeye kwamba ulimfumania,anapenda maisha ya juu kuliko hali ya mpenzi wake,ana kiburi sana,hawapendi ndugu zangu,hajali na mambo chungu nzima
 
Da umenikumbusha niliwahi kukutana na jamaa akadai ametendwa tena na mkewe mpaka akahama mji kurpusha shari basi nikamurlewa siku huyo mkewe sijui alipata wapi no yangu alinieleza mambo ya jamaa nikachoka kabisa kumbe jamaa ndio kimeo mbaya yule mke alimwaga kila kiti hadharani kumuuliza jamaa oooohh ni kweli lkn nisamehe du nilikimbia mbioo.
 
Mbona hukukimbilia kwangu?
 
Kusema ukweli mm sehem nyingi nlikuwa naharibu mm..ukorofi wangu mwnyw ila nikiwa naenda kutongoza siwezi kusema ukweli hata kidogo,ni sawa ufukuzwe kazi kwa wizi halaf kwny interview ukaseme umeondoka ile kampuni kwa sababu uliiba...haiwezekani.
 
Kwa mfano ukisema nimeachwa na mpenzi wangu kwakuwa alinifumania na mwanamke mwingine unafikiri utakubaliwa hata kama ndo ukweli wako? hapo lazima ukandie sana tena sana,muda mwingine hilo suala la kufumaniwa unaweza ukambebesha yeye kwamba ulimfumania,anapenda maisha ya juu kuliko hali ya mpenzi wake,ana kiburi sana,hawapendi ndugu zangu,hajali na mambo chungu nzima

Kwahiyo hakuna anayesema ukweli kwenye mahusiano mkuu?
 
Sijawahi kusikia mwanamke ameachana na mwanaume zaidi ya cheating! Ivi wanaume wote tuna cheat?
 
Men are good liars often they look for sympathy ndo maana wanalalamika kutendwa. Bila kutoka nje ya mada, naomba kuuliza, kuna uwezekano wapenzi wakawa mbalimbali ( e.g 1 south africa mwingine bongo) zaid ya miaka 2 bila kucheat despite good communication?
 
Miaka 2 bila kuona kabisa haiwezekani mkuu! Ila Kama kuna vipindi wanaonana hiyo inawezekana bila Shaka.
 
Mi nasema ukweli tu....ila wengi waoga wa kusema ukweli kwasababu walio wengi wana fear ukweli na ndio maana wanajikweza mfano mtu wako akwambie nilicheat au nilikuwa malaya hivi kweli utataka kuendelea nae?
 
Men are good liars often they look for sympathy ndo maana wanalalamika kutendwa. Bila kutoka nje ya mada, naomba kuuliza, kuna uwezekano wapenzi wakawa mbalimbali ( e.g 1 south africa mwingine bongo) zaid ya miaka 2 bila kucheat despite good communication?

mapenzi ya mbali magum sana..........
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom