jukwaa gani ambalo hujawahi kuingia

jukwaa gani ambalo hujawahi kuingia

Rahabu

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2014
Posts
5,527
Reaction score
3,345
humu kunamajukwaa tele zaid ya 40
hv jukwaa gani ambalo unalisikia ila hujawahi hata kutupa mchango wako pale. mfano wangu jukwaa la siasa, dini, kenya forum n.k
 
du mi nshavuruga kote kwahiyo hapa kwenye huu uzi hapanifai
 
njo Kibo10 me ntakupokea usijali ntakufanyia massage ya kutosha na mengine utakayo taka
 
Last edited by a moderator:
njo Kibo10 me ntakupokea usijali ntakufanyia massage ya kutosha na mengine utakayo taka

Nimeanza kuweweseka ghafla kwa maneno yako
Nitakuja leo usiku kwa kasi ya kimbunga
 
Last edited by a moderator:
Angeambiwa achochwe jicho na we ungetaka?
Rich Pol usijali nawe pia njoo nipo mlangoni ntawasubir na mwenzio Kibo10 ila hakikishen mnavaa pensi nyanya, kaboka au trak sut ili kukipa kiungo nafasi ya kujitawala Jinsi no.
maneno ya huyo Angel Nylon yasikutishe
 
Last edited by a moderator:
Jukwaa la wakubwa,rahabu ukiwa unaenda nistue twende wote
 
Back
Top Bottom