Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

ONE of the most accomplished football players Tanzania has ever produced Maulidi Dilunga (62) passed away on Tuesday and was to be laid to rest i n Kisarawe, Coast Region yesterday. Tanzania...
1 Reactions
11 Replies
6K Views
The top 10 Euro moments of all-time The European soccer championship has provided fans with hundreds of memorable moments over the years. Here are 10 that stood out: 1) Danish delight...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mwendo wa kuelekea kombe la dunia umezidi kuwa mgumu baada ya timu ya Taifa kufungwa na visiwa dhaifu kisoka. Bao la wenyeji limefungwa dakika ya 73. Hata hivyo tusikate tamaa, tunaweza kuifunga...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Kama ambavyo wengi tulitarajia, yule kocha wa zamani wa Blackburn Rovers leo hii amesaini mkataba wa miaka mitatu kuziba pengo lililoachwa wazi baada ya Sven Ericksson kupigwa chini. Kuna tetesi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Yule kocha wa zamani wa timu ya taifa ya England na mpenda vidosho Sven-Goran Eriksson amepigwa chini na Club yake ya Manchester City baada ya kukaa msimu mmoja tu katika club hiyo. Mark Hughes...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
discuss.....
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Italy rocked by Cannavaro injury BBC News Online The injury may signal the end of Cannavaro's international career Italy captain Fabio Cannavaro will miss Euro 2008 after tearing...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
jamani mliofika hapo naombeni reviews zenu watu wa ATL
0 Reactions
4 Replies
2K Views
HIVI NANI BADO ANAYO MASHATI YA YSL au perfume zake? the man just bite the dust..developing...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau naombeni msaada. Nasikia Desperate house wives season four tayari ipo madukani baadhi ya nchi, unfortunately huku kwetu haijafika bado, na ningependa kuipata ASAP. Nimejaribu kucheck...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Taifa stars kitendo cha kutoka suluhu na jana kimetusikitisha na kututia mashaka iwapo mtaweza kushinda ugenini. Kwa kuwa mimi siyo mtaalamu wa mambo ya mpira na kushia kuwa mpenzi tu napata...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwa wale mliozoea kupiga tungi kwenye underground leo ndio siku ya mwisho kabla sheria mpya inayokataza huo ustaarabu haijaanza kuapply, I think its gonna be funny. Details about the party...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Rock has to pay $22k(!):eek::smh: a month in child support. "That's right ... keeping stroking them big checks my way." Now here's the truly FUCKED UP PART, Rock IS NOT the...
0 Reactions
2 Replies
10K Views
Leo sidhani kama Lakers watafanya makosa kama ya juzi ya kuwa nyuma kwa 20 points katika quarter ya tatu.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Very good decision E.U. wants FIFA to abandon foreign player rule Soccer's international governing body plans to limit the number of imports on club teams Last Updated: Thursday, May 8...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
HUU NI MWAKA WETU ITALI,nikianzia na hili kundi letu lina timu za netherland,roman na france.sijaona kikwazo cha sisi AZZURI kutotinga robo final,duh huu mwaka wetu
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Naona, Abramovic kachanganyikiwa baada ya Man U kunyakua ushindi... developing story... Chelsea have parted company with manager Avram Grant after terminating the Israeli's contract...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Utuatao ni mchanganuo wa hali ya fwedha katika timu zitakazoshiriki ligi kuu ya msimu ujao wa mwaka 2008/2009. Manchester United Owned by: Glazer family (since 2005). Value: £936m. Turnover...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Serena Williams, the only ex-champion in the women's field, roars back from 2-0 down to crush Ashley Harkleroad 6-2 6-1 Last year's finalist Ana Ivanovic is among the early starters as the...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jamani, hivi kwanini waganda waliwafanyia fitina viongozi wetu wa mpira pamoja na wachezaji na mashabiki wetu. manake ninavyosoma magazeti, nasikia hadi watz wengine walijeruhiwa, na viongozi wetu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…