Platinum 21

ahhh wee acha tuu hiyo Platinum 21 napata masifa yake tuu na exchange rate inaruhusu sasa najua kuna Pleasers kuna nyingine iko off Fulton Ind. Blvd inaitwa Club Wax lakini nimeambia hapo Platinum 21 mpaka mpishi unapewa
 
Uko Fulton Ind Blvd mbali hukawii kukutana na miredneck inayotokea Alabama bure.... watu wanacheza within the Perimeter...ukitoka hapo unaingia zako W hotel kumalizia usiku.
 
na kama huna pesa unaweza kufunga ESPN ZONE na DURGANS nako kuko fresh tuu na kuna funga vile vile
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom