Wadau naombeni msaada.
Nasikia Desperate house wives season four tayari ipo madukani baadhi ya nchi, unfortunately huku kwetu haijafika bado, na ningependa kuipata ASAP. Nimejaribu kucheck amazom hawana mpaka sometimes in September.
Kwa yeyote mwenye uhakika kwamba zipo madukani na kama itawezekana anipatie anuani ama anielekeze namna ya kuinunua huku inapopatikana nitashukuru sana.
Second request, Sex and the City (Movie, siyo series), imetoka hivi karibuni (according to media) mwenye taarifa kama tayari ipo madukani tafadhali, wapi na nitapataje, nitashukuru kueleweshwa/elekezwa.
Asanteni.
Lizy