Taifa Stars Kazeni Boot

Ipole

JF-Expert Member
Apr 15, 2008
294
12
Taifa stars kitendo cha kutoka suluhu na jana kimetusikitisha na kututia mashaka iwapo mtaweza kushinda ugenini.
Kwa kuwa mimi siyo mtaalamu wa mambo ya mpira na kushia kuwa mpenzi tu napata mashaka hebu wachambuzi na wataalamu wa soka tuchambulieni.

Tatizo la timu yetu ya Taifa ni makocha au wachezaji na tufanye nini ili na sisi tuwe miongoni mwa timu bora angalau katika barani letu.
 
Kamanda inaonekana ujatembea vizuri hapa JF, kwani kuna ukumbi wa sports na hili bandiko lingefaa kuwepo kule kwani kuna mengi ya Taifa stars huko ambayo janaendelea kujadiliwa...
 
Back
Top Bottom