Thanks KOBE maana game 4 ilikuwa tight mno
but nashukuru LA waliweza kumfunika MANU GINOBILI kwani namuogopa kuliko PARKER& DUNCAN
Ebanae!!! KOBE is a beast!!! ila duh kweli Spurs wameshaanza kujichokea lol!!! congratskwa wapenzi wa Lakers
...duh, kweli Boston ni city of champions!! yaani mwaka huu major teams zote kuondoa Bruins(ice hockey) zimetinga finalz....
...Celtics ni home team lakini siwaamini, na jana ilikuwa zali tu kushinda! anywayz, go Celtics na kama zali bado ni lao basi watakuwa worlds champions...i doubt it though!!.