Kana-Ka-Nsungu
JF-Expert Member
- Oct 4, 2007
- 2,257
- 360
Kama ambavyo wengi tulitarajia, yule kocha wa zamani wa Blackburn Rovers leo hii amesaini mkataba wa miaka mitatu kuziba pengo lililoachwa wazi baada ya Sven Ericksson kupigwa chini. Kuna tetesi pia kwamba Hughes alikuwa kwenye two men short list ya candidates wa kukalia kiti cha moto huko Stanford Bridge.