Kana-Ka-Nsungu
JF-Expert Member
- Oct 4, 2007
- 2,257
- 351
Yule kocha wa zamani wa timu ya taifa ya England na mpenda vidosho Sven-Goran Eriksson amepigwa chini na Club yake ya Manchester City baada ya kukaa msimu mmoja tu katika club hiyo. Mark Hughes, kocha wa Blackburn ambaye yumo kwenye shortlist ya atakayekalia kiti kilichoachwa wazi na Avram Grant huko Chelsea ameruhusiwa na klabu yake kufanya mazungumzo na City kuhusu nafasi hiyo na kuna uwezekano mkubwa akaipata hiyo kazi. Kuna habari kwamba Sven anajiandaa kwenda south america kuwa kocha wa taifa wa Mexico and who can blame him? latino babes are the best in the world!!