Kidzogolae
Senior Member
- Apr 20, 2008
- 133
- 2
Jamani, hivi kwanini waganda waliwafanyia fitina viongozi wetu wa mpira pamoja na wachezaji na mashabiki wetu. manake ninavyosoma magazeti, nasikia hadi watz wengine walijeruhiwa, na viongozi wetu hadi wameamua kukata ties na Uganda kimichezo.
Au nao wanataka kuwa kama wakenya? wanataka kuleta chuki kwa watz?wanataka kusababisha watz wawachukie waganda kama wanavyowachukia wakenya? jamani hii inasikitisha. Hii ndo barabara ya kwenda kwenye East Africa federation Museven akiwa raissssssssss?....hahaha.