Ngao ya hisani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ngao ya hisani

Discussion in 'Sports' started by Masuke, Aug 14, 2011.

 1. M

  Masuke JF-Expert Member

  #1
  Aug 14, 2011
  Joined: Feb 28, 2008
  Messages: 4,606
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  Simba ina kila sababu ya kutopeleka timu uwanjani siku ya jtano na kuna uwezekano wa kujiondoa kwenye ligi kuu endapo TFF itashikiria msimamo wake ya kwamba Gervas Kago hajatimiza masharti ya usajiri.<br />
  <br />
  Akiongea kwenye taarifa ya habari ya jioni ya TBC1 m/kiti wa Simba Aden Rage alisisitiza taratibu zote zimefuata na endapo TFF watang'ang'ania Simba haitacheza mechi dhidi ya Yanga siku ya jtano.
   
 2. TabletFellow

  TabletFellow JF-Expert Member

  #2
  Aug 14, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 928
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Simba ni timu ya miaka zaidi ya 40, na itakua aibu kujiondoa kwenye ligi kwasbabu ya kumkosa mchezaji mmoja

  Ni upuuzi kufanya wachezaji wote waliobaki waonekane hawana maana

  SIMBA TUACHE UPUUZI, KAMA HATUKO FITI KUSEME SIO KULETA SIASA

  SIJUI KWANINI... KILA ANAPOKUA RAGE LAZIMA PAWE NA MAJUNGU, FITNA, NA KILA AINA YA AFEDHULI NA UPUPU
   
 3. m

  mwacheni77 JF-Expert Member

  #3
  Aug 15, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 764
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  <br />
  <br />
  Penye ukweli tuchangie ukweli na penye uongo tushauri,kilichopo tff wanajichanganya tumemuamisha mgosi kama mchezaji wa riadhaa kwenda montemapembe,the same kilichofanya kwa kago kila kielelezo kipo na ligi ya central ni ya ridhaa so mchezaji amechukuliwa kama wa ridhaa so mwisho wa cku wanasema sio wa halali,tff ndio wanaoharibu ligi wapo watu mbumbumbu bora liende tu,nakuhusu kugoma hata yanga kagame waligoma kwa ajili ya milioni 20 tu,na hata juzi wamekataa jezi kisa inakidoti chekundu cha voda,tff wanaleta siasa kwenye mchezo wa soka ndio maana wanaharibu wapo kimaslai zaid kuliko kuendeleza mchezo wa soka
   
 4. M

  Masuke JF-Expert Member

  #4
  Aug 16, 2011
  Joined: Feb 28, 2008
  Messages: 4,606
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
 5. M

  Masuke JF-Expert Member

  #5
  Aug 16, 2011
  Joined: Feb 28, 2008
  Messages: 4,606
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  Na Rage yuko safarini kuelekea Afrika ya Kati kumalizia ule usajili wanaoutaka kina Mgongolwa.
   
 6. M

  MzeePunch JF-Expert Member

  #6
  Aug 16, 2011
  Joined: Jun 8, 2009
  Messages: 1,412
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Kanuni za FIFA zinataka mashirikisho ya soka ya nchi zinazohusika na transfer ya mchezaji yashiriki kikamilifu katika kuhakikisha ITC ya mchezaji inapatikana. Kilichotokea kwa TFF walijua tatizo lakini wakakaa kimya kwa lengo la kuwakomoa Simba. TFF ina sehemu yake ya kujaza katika mtiindo mpya wa transfer (Transger Marching System) ambao ni web-based. TFF walipaswa kuielekeza Simba nini cha kufanya walipoona mapungufu. Lakini walinyamaza kwa sababu ya u_yanga wao. Nani asiyejua kwamba Angetile alikuwa mwenyekiti wa kamati ya uchaguzi ya Yanga? Au Mgongolwa kuwa ni Yanga wa kutupwa?
   
 7. M

  MzeePunch JF-Expert Member

  #7
  Aug 16, 2011
  Joined: Jun 8, 2009
  Messages: 1,412
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Kanuni za FIFA zinataka mashirikisho ya soka ya nchi zinazohusika yashiriki kikamilifu katika kuhakikisha uhamisho wa kimataifa wa mchezaji unapatikana. Kilichotokea kwa TFF walijua tatizo la mchezaji Kago lakini wakakaa kimya kwa lengo la kuwakomoa Simba. TFF ina sehemu yake ya kujaza katika mtiindo mpya wa transfer (Transger Marching System) ambao ni web-based. TFF walipaswa kuielekeza Simba nini cha kufanya walipoona mapungufu. Lakini walinyamaza kwa sababu ya u_yanga wao. Nani asiyejua kwamba Angetile alikuwa mwenyekiti wa kamati ya uchaguzi ya Yanga? Au Mgongolwa kuwa ni Yanga wa kutupwa?
   
 8. M

  MzeePunch JF-Expert Member

  #8
  Aug 16, 2011
  Joined: Jun 8, 2009
  Messages: 1,412
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Kanuni za FIFA zinataka mashirikisho ya soka ya nchi zinazohusika yashiriki kikamilifu katika kuhakikisha uhamisho wa kimataifa wa mchezaji unapatikana. Kilichotokea kwa TFF walijua tatizo la mchezaji Kago lakini wakakaa kimya kwa lengo la kuwakomoa Simba. TFF ina sehemu yake ya kujaza katika mtiindo mpya wa transfer (Transfer Marching System) ambao ni web-based. TFF walipaswa kuielekeza Simba nini cha kufanya walipoona mapungufu. Lakini walinyamaza kwa sababu ya u_yanga wao. Nani asiyejua kwamba Angetile alikuwa mwenyekiti wa kamati ya uchaguzi ya Yanga? Au Mgongolwa kuwa ni Yanga wa kutupwa?
   
 9. M

  MzeePunch JF-Expert Member

  #9

 10. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #10
  Aug 16, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
 11. M

  MzeePunch JF-Expert Member

  #11

 12. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #12
  Aug 16, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Jenga hoja zako acha kurusha lawama kwa Rage...Rage kajenga hoja zake sasa wewe kama unajibu kwa niaba ya TFF jibu...hatuwezi kuona kanuni zinakiukwa halafu tunafumbia macho kisa ni mchezaji mmoja unajua tumiingia garama kiasi gani kumnunua...kama kago ataruhusiwa na TFF basi wewe ndiyo utakuwa mpuuzi x100...
   
 13. M

  Masuke JF-Expert Member

  #13
  Aug 16, 2011
  Joined: Feb 28, 2008
  Messages: 4,606
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  Kumbukumbu zako mkuu ziko sawa kabisa, tena yeye hata ile ya kutumwa na fax hakuwa nayo, sasa Kago ya fax ipo sijui kwa nini wanashindwa kuliona hilo, TFF wanatakiwa waongoze kwa weledi sio kuwa na mapenzi na vilabu hadi mnakuwa na double standard.
   
Loading...