Tp mazembe wamnunua ochan

What is this? Please explain
Aliyekuwa mchezaji wa soka katika klabu ya simba raia wa Uganda Patrick Ochan ameuzwa katika klabu ya TP Mazembe ya mjini Lubumbushi katika jamhuri ya demokrasia ya Congo.
Akiongea kwenye taarifa ya habari ya saa 2 usiku kwenye Luninga ya TBC1, Mwenyekiti wa Simba Aden Rage alitanabaisha kuwa kiungo huyo amenunuliwa na Tp Mazembe kwa kitita cha dola za kimarekani laki moja ambayo ni takribani shilingi za kitanzania milion 150.
 
mpaka sasa tumevuna zaidi milion 500 haya ni matunda ya mechi za kimataifa na uongozi bora kuna watani zetu walisha wahi kunua wachizaji wa kimataifa lakini hawakuuza mchezaji hata mmoja samatta, ochan na okwi j3 anaenda south napo tutegemee mil 500..
 
Yaani walinunua ili wauze, halafu hawakuuza! Pia walikuwa na wa kuwauza halafu hawakuuzika.
 
Tegete alipata timu nje akarudishwa kwa sababu ya mechi ya Simba na Yanga....

ha ha ha ha ah ahaaaa umenichekesha sana mkuu.. kwa hiyo jamaa waliona mechi ya simba na yanga ndio muhimu zaidi?

wachezaji wa kibongo bana hii imenikumbusha ishu ya boban
 
ha ha ha ha ah ahaaaa umenichekesha sana mkuu.. kwa hiyo jamaa waliona mechi ya simba na yanga ndio muhimu zaidi?

wachezaji wa kibongo bana hii imenikumbusha ishu ya boban
Ni upeo finyu wa viongozi wetu na kurupuka kwa wachezaji wetu katika kusaini mikataba....Boban alikaa karibu miezi miwili kabla haja saini mkataba je alishindwa kufatilia ghara za maisha ya huko ni inavyoelekea alienda bila kujua atalipwa kiasi gani kwa mwezi alienda kugundua akiwa huko.....
 
mpaka sasa tumevuna zaidi milion 500 haya ni matunda ya mechi za kimataifa na uongozi bora kuna watani zetu walisha wahi kunua wachizaji wa kimataifa lakini hawakuuza mchezaji hata mmoja samatta, ochan na okwi j3 anaenda south napo tutegemee mil 500..

tofauti yetu na wao!mweku wa msimbazi ni habari nyingine.......big up!
 
Tegete alipata timu nje akarudishwa kwa sababu ya mechi ya Simba na Yanga....
wacha utani mkuu,ni kweli hii?yani ujue umefanya nipaliwe na hii Alvaro yangu kwa mshtuko wa hasira!kama ndo hivi hawa watoto (na ngasa,nimesikia anarudi) watazeekea hapo wakijivunia tu kuendesha GX-100 .
 
hapo ndipo unapotakiwa kukubali kuwa viongozi wa Simba ni makini..Ochan the tyme anatua simba mashabiki wote hawakumkubali ila KABuRU na PHIRI ambao walimuona akicheza before walimtetea na leo tumeona faida yake
 
Daa! hyo live bla chengaaa jamaa mtaalamu sana.watanzania tunapenda washambuliaji wanariadha.
 
Back
Top Bottom